Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo watu hawafai kununua manyumba? Na kama hujui kuna developers wengi sana wakenya, real estate is a booming business in Kenya sahii.
Wananunua manyumba au wanapanga??

Kukaa manyumba yamejaa sehemu moja kama hostel au chuo ni ushamba.

Tanzania tuna majukba kama hayo, yanajengwa na NHC wanakaa watumishi wa umma na wageni.



Mtu mzima huwezi kukaa kukaa kwenye unifrom estates kama ndio your dream houses.
Your browser is not able to display this video.
 
Naona estates hapo.

Developer mmiliki ni nani?
Kwa hivyo watu hawafai kununua manyumba? Na kama hujui kuna developers wengi sana ni wakenya, real estate is a booming business in Kenya sahii.
 
Tuongee kwa evidence sio kwa maneno zilete hizo bungalows kwanza
 
Sijafika masaki ushakimbilia huko masaki ni mji wa zaman sana ila bado itakukimbizeni.
Leta evidence za hayo mabungalow Mimi nimeleta video za nyumba za kawaida sana Tena kwenye makazi ya watu wa kawaida sana, kijichi asilimia kubwa wanamiliki watu wa kipato kidogo hatujafika sehem kama mbweni na mikocheni
 
Kwa hivyo watu hawafai kununua manyumba? Na kama hujui kuna developers wengi sana ni wakenya, real estate is a booming business in Kenya sahii.
Kwa sababu wakenya hamna uwezo wa kujenga nyumba mnategemea mmejengewe muanze kulipa kidogo kidogo, Tanzania watu wanajenga wenyewe kwa raman zao wenyewe
 
Suruali za ndani. 🤣🤣🤣🤣
Halafu yatakuambia kiswahili ni chao 😂😂😂 halafu yenyewe yako proud kweli kuchapia kiswahili ili yaonekane kama wazungu ila sio English, mbongo akichapia English kwao ni breaking news ila wanavyochapia kiswahili sasa sijawahi kumsikiliza mkenya kamaliza sentence 1 bila kuchapia ila tunanyamaza tu we don't mock.
 
Nowonder Hanspaul alisema munaishi kama washamba. 🤣 🤣
 
Hua munasema GDP ya Kenya ni makaratasi, ila Mkenya akitembelea nchi zote za East Africa anaweza nunua vitu nyingi sana na elfu moja ya Kenya pekee. 🤣🤣 Napenda sana vile hua mnaji contradict.
Unajielewa kweli? Unaelewa hata maana ya purchasing power? Jaribu kufanya hesabu kwa standard ya US dollar 1, huko Kunyaland unaipata kwa hustle kiasi gani na ina uwezo wa kununua kiasi gani then compare to Tanzania
 
Unajielewa kweli? Unaelewa hata maana ya purchasing power? Jaribu kufanya hesabu kwa standard ya US dollar 1, huko Kunyaland unaipata kwa hustle kiasi gani na ina uwezo wa kununua kiasi gani then compare to Tanzania
Kupata Mia moja Kenya ni rahisi kuliko bongoslum, that's why wakenya tukikuja bongoslum munatamani sana mupewe pesa ya Kenya ju ikona more value bongoslum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…