Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,208
- 35,590
Magomeni ni jirani Kariakoo na kuna kaa hivi, sasa kujisifu mnajisifu na nini!?View attachment 3325387
Tena itakuwa kakutana na massawe Woodland bar๐๐๐mkuu Serengeti lite ndogo ni 1500 Tz sh, baketi moja ya bia 7 ni 10,000/= ukiinywa kwenye bar kali kidogo ni 2,000 baketi ya bia 6 ni elfu 10,000/= Tz money. Huyo aliibiwa au kahadithiwa tu. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nairobi ni hii hapaNairobi City
View attachment 3325406
Kapigwa na kitu kizito sanaTena itakuwa kakutana na massawe Woodland bar๐๐๐
Nairobi Ina slums 110View attachment 3325410
Kunyan akili hamna,unaiponda magomeni!naikundu cbd to kibera ni km ngapi ๐
hapa si ndani ya CBD kabisa ๐View attachment 3325410
Kunyan akili hamna,unaiponda magomeni!naikundu cbd to kibera ni km ngapi ๐
Kumiliki kampuni US siyo kitu cha ajabu, ndani ya wiki mbili tuu, unachukua namba ya kodi ya biashara (EIN). Unasajili kampuni kwenye state unayotaka, basi. Tatizo kwenye biashara yoyote siyo umiliki, ni cashflowHuyu mwehu of kibera ndo alisema anamiliki makapuni USA?๐๐๐๐๐
Sisi hatukatai kuwa umenunua supermarket ila tungependa tujue jina la supermarket uliyokwenda kununua tu tujidhihirishe inawezekana wengine tumepitwa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHata risiti ya FD hana
Seriously how could these people live in such conditions?๐
kunyan uwezo wao wa kufikiri ni mdogo mno,ile mislum iliowazunguka lakini bado utawasikia wanaponda baadhi ya maeneo ya dar ๐hapa si ndani ya CBD kabisa ๐
Daah hapa atakuwa alipigwa na dada wa kipare tu๐คฃ๐คฃ๐คฃ. Yaan kama alinunua bia sita tu, dada alikusanya 4800 ya fasta bado akampiga Tena kwenye kupokea pesa ya Kenya daah, si ajabu dada wa watu akawa alimpiga zaid ya 50,000 na mikonyezo kama yote, yeye akajua kapendwaHata risiti ya FD hana
Yaan hapa wale mateja wa buza watagoma tu kuishi hapaSeriously how could these people live in such conditions?๐
Karne hii kila Siku Unga๐ Si bora hata wangekua wanaongelea ule Unga mwingine.Siku sio nyingi kitawaka ๐๐๐๐
View: https://x.com/Kenyans/status/1919353821114863725?t=xRAy6oU_zi0sKWn4aQSZ3w&s=19
Na walisema wameanzisha GMO za mahindi,mara wanatumia Zambia sijui Brazil yaani ni kituko ๐๐Karne hii kila Siku Unga๐ Si bora hata wangekua wanaongelea ule Unga mwingine.
Mwaka huu kwanza tuwaonea watakavyohangaika maana chakula kinatutosha sisi tuKarne hii kila Siku Unga๐ Si bora hata wangekua wanaongelea ule Unga mwingine.
Karne hii kila Siku Unga๐ Si bora hata wangekua wanaongelea ule Unga mwingine.