Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anaforce CBD ikue pande ya government square pekee ju huko ndio Kunakaa vizuri. 🤣🤣
 
Ni CBD ama sio CBD?😂
 
In Kenya hizo vitu zote ziko in all cities, wewe naona imebidii uchague from zile kidogo mkonazo from different cities ndio upate jibu.🤣🤣
For example Unguja has flyovers but no malls. Mwanza has a mall but no interchange.
 
In Kenya hizo vitu zote ziko in all cities, wewe naona imebidii uchague from zile kidogo mkonazo from different cities ndio upate jibu.🤣🤣
For example Unguja has flyovers but no malls. Mwanza has a mall but no interchange.
No malls in Unguja.? 🤣🤣🤣🤣 Ungaja iko na mall kubwa mall yoyote hapo kenya kando ya Nairobi, Kama tu ilivyo mwanza
 
All your cities outside Dar is a slum zikona mall moja moja pekee apart from Arusha ambayo ina mbili. You don't have the range to talk about malls.
🤣🤣🤣 vijiji za kenya Ndio hazina proper mall hata moja ni takataka tu.
 
Peleka uzee wako mbali. Show me any Tanzanian team that can collect this amount without laying at Makwapa Stadium.


View: https://x.com/Shabanafckenya/status/1919088395151679705
so mkapa stadium ni kiwanja hakipo tanzania kipo spain au?? ww hua mjinga sana ile azam complex inachukua mashabiki over 10k na inajaa

VIP 50,000
second class 20,000
normal 10,000

fanya hesabu ya haraka tu VIP inachukua watu 200
second class inachukua watu 3k
normal class inachukua watu 6.8k

hio tunaongelea zaidi 7m ksh
 

Dabi ya Simba na Yanga yaingiza Milioni 400
Alhamisi , 20th Apr , 2023
Na Mwandishi wetu
Shirikisho la Soka nchini Tanzania limeweka hadharani Mapato ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba SC dhidi ya Young Africans uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, Jumapili (April 16).


TFF imetoa taarifa ya mapato ya mchezo huo uliomalizika kwa Young Africans kukubali kuchapwa 2-0, kupitia vyanzo mbalimbali vya Habari vya Shirikisho hilo.

Katika mchezo huo jumla ya mashabiki 53,569 waliingia Uwanjani ambapo VIP A waliingia Watazamaji 340 kwa kiingilio cha sh. 30,000 na kupatikana jumla ya sh. 10,200,000, VIP B waliingia Watazamaji 4,160 kwa kiingilio cha sh. 20,000 ikapatikana jumla ya sh. 83,200,000

Taarifa ya TFF imeeleza: Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliowakutanisha Simba SC na Young Africans uliochezwa Jumapili Aprili 16, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam umeingiza jumla ya sh. 410,645,000.

Katika mchezo huo jumla ya mashabiki 53,569 waliingia ambapo VIP A waliingia Watazamaji 340 kwa kiingilio cha sh. 30,000 na kupatikana jumla ya sh. 10,200,000, VIP B waliingia Watazamaji 4,160 kwa kiingilio cha sh. 20,000 ikapatikana jumla ya sh. 83,200,000.

IP C waliingia watazamaji 2,004 kwa kiingilio cha sh. 15,000 na kupatikana sh. 30,060,000 wakati jukwaa la rangi ya Machungwa waliingia watazamaji 10,372 kwa kiingilio cha sh. 10,000 ikapatikana jumla ya sh. 103,720,000 na jukwaa la mzunguko waliingia Watazamaji 36,693 kwa kiingilio cha sh. 5,000 na kupatikana jumla ya sh. 183,465,000.

Mgawanyo wa mapato

VAT Sh. 62,640.762.71

BMT Sh. 10,440,127.12

Gharama za tiketi Sh. 22,585,475

Uwanja Sh. 47,246,795.28

Gharama za mchezo Sh. 22,048,504.46

TFF Sh. 12,599,145.41

TPLB Sh. 25,198,290.81 FA Mkoa Sh. 18,898,718.11

Timu mwenyeji (Simba SC) Sh. 188,987,181.10

Ksh 18mil mechi moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…