Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

My fellow Kenyans je mumecheki a new forum inaitwa Somalispot.com ya Somali community? I have sampled it a little bit na naona nikijoin just to infuriate them.
Duuh, ama kwa ukweli JF ni kiunganishi cha ukweli, hili haliwezi kutokea katika forums huko Kenya, wakiwa huku wanajiita my fellow Kenyans, huko nyumbani hakuna umoja huo, kuna forums za Kikuyu, Jaluo, Kalenjins, pwani, Kisii, Kamba..Hongera JF kwa kuwaunganisha majirani.
 
We never get beaten up in these games ama namna yani my Friend?
 
kibarua wamarekani ameogopa kunyimwa msaada
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Tazara Zambia was amongst who did not vote, Malawi, South Sudan, Equatorial Guinea, Benin and Dreaded East African Giant KENYA.
123 countries didnt vote world wide... only 30 contries voted including kenya munaogopa kunyimwa msaada alaf munajiita DC😀😀😀😀😀😀

wewe unafurahia palestine kuchukuliwa mji wao kwa nguvu zamu yenu iko njiani
 
My fellow Kenyans je mumecheki a new forum inaitwa Somalispot.com ya Somali community? I have sampled it a little bit na naona nikijoin just to infuriate them.
Umeshakuwa mkenya tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…