Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Ukija kuchunguza siasa za kenya level walio fikia hawa jamaa ni kwambaa hawawezi kufanya nradi wowote bila msaada wa chinaBado wanatishia na renders. Huu ni mwaka wa nne sasa😁
So wewe ndio unauza nyumba? Mbona hajasema kuna choo ingine ndani? Just accept that Tanzanians bado mko nyuma. By the way, kwako uko na toilet ama latrine?Ukiona nyumba ina jiko na choo nje hiyo ni provision maana yake ina viwili ila ninyi magovinda ni ngumu kuelewa
Nduta kesi yako inaendeleaje? Vp maisha hapo Vietnam, je wanakupa chakula? Unadhani utatoboa hiyo mwezi wa 6? Na kama utatoboa, je utaacha drugs trafficking? Please answer those questions.In short unaambiwa wewe ni mjinga.
Mko Stone Age.We govinda huoni hapo kaandika kabisa kuna chumba masta? Unajua maana ya chumba masta?
Sawa haya tueleze kutoka kwenye maghorofa ya Eastleigh mkiwa mmeweka sawdust mnaflush kivipi maana inaonekana kabisa ni kutokana na uhaba wa majiPole sana, kumbe unajaribu kuforce a false narrative. 🤣🤣 Enyewe hio maneno ya choo inawauma.
View attachment 3321749
We ni govinda usie na akili unadaka tu phrase huko online bila kujua maana yake unakuja kujiaibisha huku, Tanzania lifestyle yetu watu wengi wanapenda kuweka choo cha ziada nje kama kuna servants wanakaa nje na pia kwaajili ya visitors incase kuna function ndogo ndogo nyumbani sio wote mnatumia choo cha ndani, na dalali wanaelezea vizuri tu ila sababu kwenu ni kitu hakipo kabisa mnatafsiri according to your limited resources lifestyleSo wewe ndio unauza nyumba? Mbona hajasema kuna choo ingine ndani? Just accept that Tanzanians bado mko nyuma. By the way, kwako uko na toilet ama latrine? A
Na unajua kuflush choo?
Maana yake huko Kenya hakuna Very Big Logistic Center 🤣 🤣 🤣 🤣Yani logistics center imekuwa tena mall!? 😂😂😂
Kweli mko desperate
Kwahiyo Kila mkijaza ndogo za kinyesi mnabeba kwenda kuweka shambanPole sana, kumbe unajaribu kuforce a false narrative. 🤣🤣 Enyewe hio maneno ya choo inawauma.
View attachment 3321749
Masikini wakenya ainishi kama zombie maana hata kujisaidia anajisaidia kwenye mifuko ya plastic Kisha anatupa kwenye uvungu wa kitandaMaskini hohehahe wa Kenya anaishi kama middle class wa bongoslum.
These are among the few 2% of Dar houses. The remaining 98% choo zote ziko nje. Na hizo 2% with choo za ndani 99% are latrine.We ni govinda usie na akili unadaka tu phrase huko online bila kujua maana yake unakuja kujiaibisha huku, Tanzania lifestyle yetu watu wengi wanapenda kuweka choo cha ziada nje kama kuna servants wanakaa nje na pia kwaajili ya visitors incase kuna function ndogo ndogo nyumbani sio wote mnatumia choo cha ndani, na dalali wanaelezea vizuri tu ila sababu kwenu ni kitu hakipo kabisa mnatafsiri according to your limited resources lifestyle
View: https://x.com/Ahman_09/status/1908817386632847709?t=pji7F2aBU3IgH_XFKm42sg&s=19
View: https://x.com/DalaliZanzibar/status/1910284397921652815?t=SVQWEC6j_ZJRkC3HVj1U0A&s=19
View: https://x.com/RadhiyaLaizer/status/1844451907521360245?t=45jsa5g1ZSYZPhg6citDgQ&s=19
View: https://x.com/luccado_/status/1681622401065312259?t=-sySEvmSI3PI9Z_cEDR96w&s=19
View: https://x.com/DalaliMoyodsm/status/1855141536515637613?t=eah6wMtOkGQyknb3ZYNS1w&s=19
Si ulisema wanatumia sawdust kujitawadha, ebu tuonyeshe Kwa hio article umepiga screenshot kama wameeandika kitu kama hio. Desperation isifanye ukue muongo.Sawa haya tueleze kutoka kwenye maghorofa ya Eastleigh mkiwa mmeweka sawdust mnaflush kivipi maana inaonekana kabisa ni kutokana na uhaba wa maji
Yaani hamtokaa mfikie Tanzania kwenye issues za housings miaka buku
Hebu weka picha ya vyoo vya Nairobi tucheke 🤣 🤣 🤣 🤣These are among the few 2% of Dar houses. The remaining 98% choo zote ziko nje.
So, mme-formalise bodaboda?Kwani boda boda can’t contribute to that? Are you aware the number of boda bodas in Kenya? Are you aware boda boda is the backbone of online marketing in Kenya? Are you aware that boda boda is the backbone of fast food industry in Kenya?
Hapo imeandikwa there are 2.5M boda boda in Kenya contributing Ksh 660B in Kenya. Let’s assume each boda earns over 1,500 per day and usages 800 on fuel everyday. How much does that result’s in a year?
Baadhi yenu wanatumia kujitawaza maana kwenye picha hakuna dalili ya maji . Tuoneshe flushing tanks kwenye vyoo hiviSi ulisema wanatumia sawdust kujitawadha, ebu tuonyeshe Kwa hio article umepiga screenshot kama wameeandika kitu kama hio. Desperation isifanye ukue muongo.
The fact that wanaandika choo ndani tells you it's still a new concept to them.These are among the few 2% of Dar houses. The remaining 98% choo zote ziko nje.
Prove it, wacha kelele za chura.Baadhi yenu wanatumia kujitawaza maana kwenye picha hakuna dalili ya maji . Tuoneshe flushing tanks kwenye vyoo hivi
Ebu tuletee flushing tanks kwenye the familiar sawdust toilets in eastleighThe fact that wanaandika choo ndani tells you it's still a new concept to them.