ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,554
- 89,984
Ni Watanzania hao!
For some weird reason, Tanzanians here think they're china.π€£π€£
That's a long time story bro, nowadays they come here to beg for medicine aids ππMedicine, yes.
But, We mostly import from India and China
Hapo huwa wanafanya hivi πππ€£π€£π€£na kamejaa maslums kila kona, naislum ipo packed na slums na watu wengi zaidi wanaishi kwenye slums, maeneo posh wanakaa watu wachache sana sababu mengi unakuta ni mapori makubwa yenye nyumba mbili tatu. Angalia hii infinity pool of gigantic slum
View attachment 3318452
Mradii mzurii ila 15% naona ni kidogo kwa miakaa hii angalau iwe roboKunyaland this kind of FDI hawajawahi kuiona miaka zaidi ya 20, ila ngoja waanze kupika statistics zao
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1916853482033762373?t=Jp5iNQqpOdShaO6ql9uAnQ&s=19
Over 2000 employment on the wayKunyaland this kind of FDI hawajawahi kuiona miaka zaidi ya 20, ila ngoja waanze kupika statistics zao
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1916853482033762373?t=Jp5iNQqpOdShaO6ql9uAnQ&s=19
ππππππππππππππππππππππππ Oyaaa ushawamastaHapo huwa wanafanya hivi πππ€£π€£π€£View attachment 3318847
Alafu anaweka vimaneno like "wooww is this Nairobi, I can't imagine being one among the Nairobi residents"
Kumbe ukweli ni huu πππ€£π€£π€£π€£View attachment 3318850
Na utakuta magovinda wenzie wana like na kopa wanaweka π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Unajua zaidi ya kuwa na mgodi hatuna kingine.Mradii mzurii ila 15% naona ni kidogo kwa miakaa hii angalau iwe robo
Mkuuu bado utapitia Tena corporate tax ya 30% ya faida. Kumbuka kampuni inahusika na Kila kitu kuanzia ujenzi mpaka marketing, tungekuwa tunataka pakubwa basi tukubali na kuweka mtajiMradii mzurii ila 15% naona ni kidogo kwa miakaa hii angalau iwe robo
Na hayo maghorofa hapo, kwa muonekano ni Apartments za kampuni fulani.Hapo huwa wanafanya hivi πππ€£π€£π€£View attachment 3318847
Alafu anaweka vimaneno like "wooww is this Nairobi, I can't imagine being one among the Nairobi residents"
Kumbe ukweli ni huu πππ€£π€£π€£π€£View attachment 3318850
Na utakuta magovinda wenzie wana like na kopa wanaweka π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Chukulia mfano wa eacop hatujaweka hata dhumni ila tumetoa land ila tumekula asilimia 15 na bado watatulipa usd 12 per barrel kwa siku tunajikuta tuna kama usd 2mil kwa sikuUnajua zaidi ya kiwa na mgodi hatuna kingine.
Soko, teknolojia na biashara ni wao.
Na mapato mengine kama Mirabaha na kodi inalipwa
Kuna mazingira serikali inaweza kumiliki mpaka 50 percent kwenye kila mgodi, according to JPM mining reformsMradii mzurii ila 15% naona ni kidogo kwa miakaa hii angalau iwe robo
Ndo mpaka tutoe pesa ya uwekezajiKuna mazingira serikali inaweza kumiliki mpaka 50 percent kwenye kila mgodi, according to JPM mining reforms
View attachment 3318863