Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In which kwa style hiyo kila nchi ni nzuri sababu hata Burundi ukiwa na hela unaishi vizuri kabisa, wakundustan wanashindwa kuelewa maisha mazuri yanapimwa namna average people wanaweza kumudu basics, sio namna mafisadi wao wanaweza kumiliki kipi, Tanzania masikini ana maisha mazuri mara 20 ya masikini wa Kunyaland
 
North Korea sio LDC kijana. Mbona unalazimisha wakuwe LDC kama Tanzania?😂😂🤣

What’s the GDP of Nairobi again for it to have GDP 5 times bigger than North Korea?
We ng'ombe mmejaa Tanzania to source a living, angalia hii random Yuotube video wakenya wamekutana na a random person from Kenya assisting Kenyans to source cheap products from Tanzania 😂😂 Hii kwa Tanzania watu kama hawa unawakuta China au Turkey wapo standby kupokea watanzania na kuwapa machimbo ya cheap products, didn't expect tumekua China na Turkey yenu this fast 😂😂😂😂
Imagine af ni LDC 😂😂😂

 
North Korea haiko kwa list ya LDC. Unajaribu kuforce narrative lakini unaendup kukaa fala. Na hakuna siku GDP pekee inatumika kama metric ya LDC. Rudi shule au uwachane na topics za wasomi.
IMF wamewapachika hapo sababu waliwapa mkopo wenye interest kubwa ili waboost your garbage currency, imagine paying billions for just flexing on bullshitty numericals while Kunyalanders are boiling rocks for food
 
That’s the beauty of having LDC neighbor, their products are always cheap. Hata Uganda pia ukienda utapata wakenya doing products sourcing huko.

Sisi tunaomba muendelee kuwa LDC hili tununue vitu cheap kwenu.
 
Huu mji nishawahi kutembea kwa mguu na kuumaliza in less than 4 hours tuu.
na kamejaa maslums kila kona, naislum ipo packed na slums na watu wengi zaidi wanaishi kwenye slums, maeneo posh wanakaa watu wachache sana sababu mengi unakuta ni mapori makubwa yenye nyumba mbili tatu. Angalia hii infinity pool of gigantic slum
 
Hata China products are cheaper hope pia wao ni LDC
Obviously products from factory are always cheap. Tanzania is not manufacturing any of those clothing and shoes Kenyans are coming to buy. Tanzania is getting those products duty free because you are LDC so it’s cheaper buying from Tanzania than importing through Kenya.
 
Yes,

From Zanzibar kwenda Mombasa is cheap kuliko kupeleka Mwanza, Lake Victoria where Songoro is headquarted.

Logistics favours Mombasa
Bongoslum hamna uwezo wa kufanya hizo repairs ju hamna drydock. That's why hua zinaletwa Mombasa. Hata huko Mwanza unasema hakuna drydock.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…