babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,520
- 36,242
Wananuka umasikini, hawawezi lipa viingilio. 😂😂😂Yaani kelele zoote hizi gate collection haijafika hata Tshs 10 mln! Mbona hata yeam za daraja la kwanza Tanzania zinakusanya zaidi ya KPL?
Video yako uliyoleta inamiezi minne toka ilipopostiwa na bado hamjamaliza video niliyoleta Mimi Ina wiki mbili toka ilipowekwa .Nishakuambia hizo traffic lights za kitambo tumewawachia. Sisi sahii tunatumia za AI na phase 1 inaelekea kukamilika then tuingie phase 2.
View: https://www.youtube.com/watch?v=D5__XQ3ejcs
GDP kubwa ipo kwa karatasi wanashindwa lipia hata 3000 kwa ajili ya viingilio walau waboost timu zaoWananuka umasikini, hawawezi lipa viingilio. 😂😂😂
Na hiyo ndo timu kubwa kwao.
Kubali kwanza Nairobi kwa sasa hakuna traffic lights na proof tunaweza letaNishakuambia hizo traffic lights za kitambo tumewawachia. Sisi sahii tunatumia za AI na phase 1 inaelekea kukamilika then tuingie phase 2.
View: https://www.youtube.com/watch?v=D5__XQ3ejcs
Ju hapa ni dar is a slum ama?Video yako uliyoleta inamiezi minne toka ilipopostiwa na bado hamjamaliza video niliyoleta Mimi Ina wiki mbili toka ilipowekwa .
Only proof nenda kapige picha new traffic light hizo ulizoweka ilikuwa za sample tu hakuna taa mpya zilizowekwa kwa Barabara zote
Traffic lights za kutafuta na manati..🤣🤣Ju hapa ni dar is a slum ama?
Picha Moja Moja za kuokotezaTraffic lights za kutafuta na manati..🤣🤣
Competitive league ambayo team zake hazifiki hata round za kwanza CAF 🤣🤣🤣🤣🤣Very competitive league, kuna watu league yao this season ni ya team moja. 😂😂😂
View attachment 3317837
Ambazo daily zinafanya vzr cafHio ni ligi yenu ya team mbili.
Tumekuletea documentary ikiwa na mitaa kabisa ambayo Iko empty hakuna traffic lights ilitakiwa kutuletea picha au video ikituonesha different area with traffic lights na uzuri wamesema kuwa barabara ya ngong na highway tu ndo kwenye traffic's lights . Leta sehem tofaut na zilizotajwa hapoJu hapa ni dar is a slum ama?
Hivi ni kweli?Hawa nyangau barabara zao zote hazina mataa ya barabaran wanaleta picha za maghorofa ya wasomali tu
Kiingilio chao hakitoshi hata kumlipa Mr nice kwa sasa kwa show Moja🤣🤣🤣Competitive league ambayo team zake hazifiki hata round za kwanza CAF 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa tukudanganye ili iweje hakuna traffic's lights karibia nusu ya barabara zote kuu za nairobiHivi ni kweli?
Nmecheka VIP wameingia watu 65, kumbe ndiyo mana hawawezi hata kukodi hotel, wanaishia kulala airport, hawa ni majokers haki ya mama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣"Kunyans are busy on weekdays. Ngoja weekend uone vile watu watajaa." na story zingine.
Weekend ikafika 😂😂😂
View: https://x.com/teyakevin/status/1916558409828049062?s=46
Duuuhhhhh, kumbe ndiyo mana wanaongoza kwa ajali za barabarani Africa aiseee.Sasa tukudanganye ili iweje hakuna traffic's lights karibia nusu ya barabara zote kuu za nairobi
Yaan hawa hata ukiwapelekea zile vip mbili za shabiby hawajaziNmecheka VIP wameingia watu 65, kumbe ndiyo mana hawawezi hata kukodi hotel, wanaishia kulala airport, hawa ni majokers haki ya mama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna vitu wakenya wa humu huwa wanashangilia mpk huwa nashangaa mana huku kwetu unakuta vipo kitambo sanaaa, wao ndiyo unakuta vimeanza mwaka huu, mfano Kisumu imepata traffic lights in less than two yrs ago, you can't believe aisee.Tumekuletea documentary ikiwa na mitaa kabisa ambayo Iko empty hakuna traffic lights ilitakiwa kutuletea picha au video ikituonesha different area with traffic lights na uzuri wamesema kuwa barabara ya ngong na highway tu ndo kwenye traffic's lights . Leta sehem tofaut na zilizotajwa hapo
Ndio wanaweka traffic lights saa hii🤣🤣🤣🤣Kuna vitu wakenya wa humu huwa wanashangilia mpk huwa nashangaa mana huku kwetu unakuta vipo kitambo sanaaa, wao ndiyo unakuta vimeanza mwaka huu, mfano Kisumu imepata traffic lights in less than two yrs ago, you can't believe aisee.
Mi nangoja matumizi ya Talanta a 60,000 seats stadium baada ya Afcon 2027! Ikumbukwe uwanja ule ni kwa ajili ya soka tu!Nmecheka VIP wameingia watu 65, kumbe ndiyo mana hawawezi hata kukodi hotel, wanaishia kulala airport, hawa ni majokers haki ya mama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Itakuwa Vip 25 kwa mechiMi nangoja matumizi ya Talanta stadium baada ya Afcon 2027! Ikumbukwe uwanja ule ni kwa ajili ya soka tu!