AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,113
- 2,965
Data zenye ziko available are for 2023. Ngoja June ifike nikuonyeshe data za 2024. Next year June ndio utapata data za 2025. Mtaendelea kupika data hadi lini?
Kwa hiyo hauna data ni umeamua tu kupinga hizo data mpya. Za kwako wewe ni za 2023...unataka zipingane na data za 2025