Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Total PaX za 2025 unataka kutoa kwenye matako yako? Hata hatujafika half of 2025 lakini wewe tayari uko ready kutupea figures za 2025. Nikiwaambia mnapika data hamuamini.

Kwani unajua namna wanavyopata data za tourists na namna TAA wanavyotoa data za PAX?
Ni institution mbili tofauti...ila kwa harmonization ndio kuna NBS...so tupe data ambazo zinakinzana na hizo za utalii.
 
👇 👇 👇 🤣🤣🤣🤣 Oxfam wanawajua watu wenye njaa

 
If Tanzanians live in slums, then Kenyans live in HELL.

The only well built areas of Nairobi are not owned by Kenyans.

Even the Nairobi expressway (toll raod) is owned by the Chinese.

Capitalism taught you stupidity while living in inhuma conditions.
 
Kwani unajua namna wanavyopata data za tourists na namna TAA wanavyotoa data za PAX?
Ni institution mbili tofauti...ila kwa harmonization ndio kuna NBS...so tupe data ambazo zinakinzana na hizo za utalii.
Hakuna data za 2025 bado wewe mbwa. Hata za 2024 hazijatoka sababu mwaka wa serikali huanza July na kuisha June, so technically your government hata bado hawajamaliza 2024. Lakini wewe hapa Umefurisha gumbo unataka kutuonyesha full data za 2025 PAX😂😂🤣😂
 
Haya tuonyeshe hiyo project ya 29floors ni gani, Ukinionyesha nahama JF saa hii. Let alone 10, just show me one project of 29 floors nihame JF saa hii.
20 floors ulisema hapo nimekosea kuandika. Saivi unalia tu 🤣🤣🤣🤣
 
Mlidanganywa. Who owns those well built parts of Nairobi. Out of 10 tall buildings in Nairobi 8 are owned by Kenyans.

Tanzania on the other hand kila kitu ni cha mwarabu. Top 20 wealthiest people in Tanzania are all Arabs. All the big businesses in Tanzania are all owned by Arabs, Transport sector is fully dominated by Arabs. Air Transport is dominated by Arabs and Kenyans, Hospitality is dominated by Arabs and Kenyans.

Even you football teams are controlled by Arabs.
 
It's clear hujawai fika Kenya, nyinyi endeleeni kuamini wakenya wengi ni maskini na wanachukiana ju hivyo ndio mko brainwashed. 😂😂
Mimi nimezurula sana Kenya.

Kwakweli mnatia huruma.

Hali ni mbayaaa.

In short, hakuna mtanzania anaweza kuishi Kenya.

Kenya ni JELA.

Nairobi Kenyans suffer.

Ukitembea huko vijijini, Mombasa (Afghanstan), Lamu, Kilifi 😂😂😂

Kenyans wako HELL.

Poverty to the core
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Tell me how Arabs controll our Teams
 
Tell me how do Arabs controll this 🤣🤣🤣👇👇👇

 
Yani unaandika huu ongo na unajua kabisa ni uongo lakini unafanya hivi ili ujifurahishe eti 🤣🤣🤣🤣

Majengo yote marefu kundurenda ni ya whites. Tz majengo yote marefu ni gvt owned. Hao waarabu unaotaja wala hawana mpango wa kujenga majumba marefu. 🤣🤣🤣 ni Bakhresa pekee Ndio kawekeza kwenye real estate 🏡, na hakuna jengo refu analomiliki hapa bongo.
 
Tofauti na wivu na kujaa roho mbaya ya ukabila. How do arabs controll this? Kwenye mashidano haya warabu walikuwepo na tumewagonga 🤣🤣🤣👇👇

 
Mlidanganywa. Who owns those well built parts of Nairobi. Out of 10 tall buildings in Nairobi 8 are owned by Kenyans.
Most of 90% skyscrappers in Nairobi are owned by foreign multinaltionals and foreign real estste companies.
Tanzania on the other hand kila kitu ni cha mwarabu.
Hakuna Mwarabu anamiliki kitu.

Anamiliki biashara yake tu, even the land biashara yake ipo, is owned by Tanzania Investment center.
Top 20 wealthiest people in Tanzania are all Arabs.
Keep believing Forbes folks. Ndio maana mnatepeliwa kila siku.
All the big businesses in Tanzania are all owned by Arabs, Transport sector is fully dominated by Arabs. Air Transport is dominated by Arabs and Kenyans, Hospitality is dominated by Arabs and Kenyans.
Big businesses?

What your definition of big businesses?

In short, usiseme Arabs labda useme Watanzania wenye asili ya kiarabu amabo mostly are Zanzibar (learn Zanzibar history).

Wanafanikiwa kwasababu wana nman ya ku-mobilize Capital. Kwah hilo.wako vizuri.

But, We still own them.

Alikuwepo Yusuf Manji, a rich folk, ask him.
Even you football teams are controlled by Arabs.
Which football teams.

We have 16 football teams in Premier league.

Only one team is owned by Azam.
 
Huyo dogo govi ni mpumbavu wa kupitiliza, huyo ni yale makenya ya ndan porini huko. Sasa labda liseme watu wa huko porini kwao Ndio hawaijui Tz. 🤣🤣🤣
 

Kunyaland ndio hakuna data za 2025 au Tanzania!?

Kwamba hizo zimewekwa hapo sio data!? Haya tupe za kwako wewe maana inaonekana unaijua Tanzania kuliko Watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…