Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ati waTz wakimya na wapuuzaji? 🤣 🤣 🤣 Labda ungesema Waganda. Hawa hawa waTz waliokaa bungeni siku nzima wakidiscuss Jaguar kisa kasema watanzania na Waganda walioko Gikomba bila vibali waondolewe? Hawa hawa wenye walikesha Bungemi wakiisema Kenya kisa ndege ya KQ imeandikwa Kilimanjaro ndio unaita wapuuzaji? Hamna watu sensitive hapa East Africa kama wabongo.

Mtalia for the rest of the year kisa Ruto amesema nyinyi ni LDC (which is true) na Magufuli akuwa akiingongelea vibaya Kenya kila kuchao. Last year tukiwa na maandamano Samia alisema kwa jirani kunawaka moto wangoje tutawalisha. Mnakuwanga too sensitive alafu mnadhani mlivyo na chuki dhidi yetu kila mtu atatuchukia kama nyie.
 
Mnaskia vibaya kisa mmeambiwa ukweli ambao kila siku tunawaambia humu kuhusu Tanzania. Alafu hiyo channel unayoongelea viewership huwa mostly Kenyans irrespective of which country is being spoken about so usilete sensitivity yako hapo eti kenyans badmouthing Tanzania. Na comment zenyewe unazosema badmouthing ziko balanced sana sema wewe na chuki zako unachukulia na bias. In fact some of them are Tanzanians agreeing ila wewe umeona za Kenya pekee. Kwani kuna video ngapi hapo youtube zilizojaa watanzania wakiisema Kenya vibaya? Mimi nimeenda through the comments sijaona yoyote inayobadmouth Tz, it's mostly people talking about their experiences.
 
Kwani hizo hazipo mipangoni? Hivi nchi gani hapa East Africa ina dual carriageway nyingi kuliko zote? Tayari tushamaliza Nairobi - Marua - 153km. Next ni Nairobi - Mombasa ikifuatiwa na Nairobi - Nakuru the Nakuru - Eldoret.
 
i mean air Tanzania flies to more domestic destinations than KQ, how many domestic destinations does KQ fly to

Hizo data similar za IMF says total investment za TZ ni kubwa kuliko za KE by 10bil usd , so whatever the projects maana sijui zote Tanzania ranks higher, mmetuzidi production for now and that is GDP but total investments tanzania iko juu and future bado tutakua juu

that means in future the investment will start producing na hivyo translating to GDP

kuhusu GDP yetu kuperform below exepcted shida ni currency na ni kutokana na demand kubwa ya dollar and guess where the dollars go to investement which we have done it 10bil usd more than you have , na hivyo lazima currency yetu iwe under pressure

BTW mmeinvest kwenye solar, wind na geothermal kuliko sisi but we currently produce more electricity than you
 
i mean air Tanzania flies to more domestic destinations than KQ, how many domestic destinations does KQ fly to
KQ stopped focussing on domestic flights when they launched a domestic subsidiary called Jambo Jet in 2014. Read about it. Kenya also has more local airlines than Tz hence KQ decided to focus on international flights. Remember Nairobi has Wilson Airport which handles most deomestic flights - Dar only has JNIA which handles even small Cessna aircrafts flight to Serengeti.

Bring the data. Stop just throwing figures around.

that means in future the investment will start producing na hivyo translating to GDP

We are talking about the present, not the future. You people have been talking about the future for 15 years now yet the GDP gap keeps widening.
kuhusu GDP yetu kuperform below exepcted shida ni currency na ni kutokana na demand kubwa ya dollar and guess where the dollars go to investement which we have done it 10bil usd more than you have , na hivyo lazima currency yetu iwe under pressure
Like Teargass mentioned earlier, currency performance is pegged to economic performance, if your currency is under pressure then your economy isn't doing as well as you think.
BTW mmeinvest kwenye solar, wind na geothermal kuliko sisi but we currently produce more electricity than you
You have more capacity than us, you don't produce more than us. There is a difference.
 
KQ is not a domestic airline.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…