Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Outlook 🤣🤣
 
Wewe kweli ni kichaa, ni sawa na mtu aseme ".....a plan to build a market started before independence...." Again, wapi wame mention BRT kwenye article uliyoleta? Ukishindwa kubali then move on, by the way ni kama umejipiga own goal, mwenzio kaleta article ikisema plan ya kujenga BRT in Tanzania started in 2002, wewe umeleta article ambayo haiongelei BRT na inataja clearly plan ilianza 2005.
 
Watchman atakuja kukuambia GDP ya Tanzania ni $150B😂😂.

Meanwhile Kenya has recaptured our number position in East Africa from Ethiopia.

View attachment 3312683
Data za kuchemsha hizi,South Africa hii hii ambayo Haina umeme?

Kwamba despite economic growth huko Nigeria ila GDP imeshuka?

Hizi porojo ndio zinawafanya mnauana nyie Kundustan Kwa sababu za njaa.

Mnafarijiwa na takwimu fake ila mna njaa
 
The only difference between us and them is that we give credit where due (like you've done with markets) but they don't. Watu wenye mioyo meusi sana!!
Lini wewe umetoa credit kwa mambo ya Tanzania na watanzania watchman govinda.
 
Huwa wanapenda kujipa umuhimu kwenye mambo ya watu.
 
Data za kuchemsha hizi,South Africa hii hii ambayo Haina umeme?

Kwamba despite economic growth huko Nigeria ila GDP imeshuka?

Hizi porojo ndio zinawafanya mnauana nyie Kundustan Kwa sababu za njaa.

Mnafarijiwa na takwimu fake ila mna njaa
Kumbe hata nyinyi mlichemsha yenu kutoka $60b hadi $85b. Maajabu haya!😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…