Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii Safaricom haiwezi battle na kampuni yoyote kubwa ya Tz, wala usijiumize kichwa bure. 🤣🤣🤣🤣
I told you to show me any company that can even make a quarter of profit Safaricom makes. Alafu Unaongea hapa na unatumia product ya Safaricom.
 

Punguza kujieleza sanaa...hizo ni tabia za masikini kujieleza mno maneno mengii..

Where is your BRT ambayo ndio tume copy kwenu?
 
Mbona iishe? With a revenue of $5B Mbona iishe? Najua unatamani lakini sitaiacha.
Huna facts yoyote. Unaandika kujifurahisha tu. Evidences zote umeiweka wewe mwenyewe kuwa Safaricom ni biashara ya nyanya.

Do you have at least kidogo idea of Financial Management or Accounts?

Maana tofauti na hapo utakuwa unaleta ubishani wa kitoto.
 
Whoa ukipenda but the truth remains that Safaricom revenue is $5B.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…