Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Take 4 of your best companies, their revenue haifikii hata Safaricom. Na hizo numbers Umeweka hapo juu ni rumors.


Safaricom revenues was Ksh506.7B
View attachment 3310452
Utalia, 🀣🀣🀣🀣 we lala tu mzee. Bongo sio size yenu.

Unasema hizo namba ni rumors ilihali zimetoka kwenye website za makampuni yanyew.? 🀣🀣🀣 we Lia tu mzee wa govi.
 
Anatuwekea data which is not publicly disclosed, in short ni umbea tu. Sasa nimeelewa mbona bongolalas wanapenda umbea. Yani hadi kwa corporate ni umbea tupu.
Hizo ndio tunaita rumorsπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Safaricom πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Financial Position Ratios (also called Balance Sheet Ratios)





Total Current Asset = Ksh 82,541.9M
Total Current Liabilities = Ksh 167,822.1M

82,541.9M/ 167,822.1M = 0.49
Maana yake watu wakija kuidai safaricom wale wa madeni ya mda mfupi hawawezi kulipwa 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…