Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Did you analyze my post before responding?
 
Unajua zaidi kuliko hao Bhakresa? Si ni hao wameandika their annual revenue is$800M? Sasa wewe ni nani upinge?
 
chinnese bus ndio hzo zimetumika world cup qatar 😂😂😂😂😂
Not those fake ones mnauziwa Tanzania. Tanzania mnauziwa vitu fake, that’s why they can’t last more than 2yrs kwa barabara.
 
so munaumia nn sasa 😂😂😂 na bado mpaka bamburi ya uganda tunasafisha
Bamburi ya Uganda ilishauziwamtu mwingine kitambo😂😂🤣😂.

You thought that mwarabu was getting full package?
 
kuto update website sio kwamba ndo kilichopo mtaani , ukisoma chini hapo kuna maelo kabisa kuwa wanatarajia kufungua kiwanda ha sukari wakat tayari kina miaka toka kifunguliwe. nincompoop
Sasa nisiamini their official website ati nikuamini wewe ng’ombe? Not in this world.
 
Sasa nisiamini their official website ati nikuamini wewe ng’ombe? Not in this world.
webiste haijawekewa taarifa mpyaa kwa miaka sasa umeoneshwa source ya taarifa yako kuuwa ni toka mwaka 2016 . na umeelezwa kabisa toka mwaka 2016 azam kafungua viwanda mara mbili ya 2016 kwhiyo mapato yataendelea kuwa 800mil , sio lazima aweke public mauzo yake ila ukienda tra utayakuta
 
Sasa nisiamini their official website ati nikuamini wewe ng’ombe? Not in this world.
wakati naivasi ikiwa inahangaika na viduka viwili allys alikuwa anaingiza fleet ya mabasi huku azam akiwa na revenue ya 800+mil

Naivas – a case of tortoise and hare?​

May 12, 2017

A case of tortoise and hare? Naivas is opening four new supermarkets just as its competitors struggle with debt and operational difficulties. The big question is whether it can manage the financial and operational demands of its expansion strategy.
The family-owned Naivas Supermarkets chain is set to open a hypermarket in Nairobi by the end of June, with other three stores to follow. It’s a bold move at a time when other Kenyan supermarket chains such as Nakumatt, Tusky’s and Uchumi are suffering growth pains.
The major problem for other retailers has been using debt to expand quickly, and testing their operational capabilities by expanding outside Kenya. By contrast, Naivas has been more cautious. If it drives this growth phase without resorting to bank loans it will be in a strong position to take on weakened competitors.
Naivas has certainly shown real patience. Tusky’s opened nine stores in 2016. Nakumatt opened four new stores, after several years of expanding its store network. Naivas opened just one store in 2016 and was the only one of Kenya’s main supermarket chains not to expand outside the country. Nakumatt and Uchumi have been forced to shut their operations in Uganda and Tanzania, having suffered unsustainable losses over several years. Although Tusky’s recently opened a new store in Uganda it is not certain how sustainable its network is there in the long term.
The first of the Naivas’s new stores will stand virtually across Ridgeways Mall where market leader Nakumatt has one of its main stores. The new Naivas site is also a few minutes away from the new Two Rivers Mall, which houses Carrefour. Naivas is betting on targeting a less a

 
umecpy na kupaste kilichopo kwenye website azam hawajatoa estimtio a mauzo yao toka mwaka 2016 sasa wewe unatuletea taarifa ambyo umeoneshw kabisa imetolewa miaka 2016
Azam annual revenue is $800M same as Naivas, Kama hufurahishwi Nenda ukajinyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…