Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwana nairobae Haya tuletee ile source inayosema naivas inapiga 93 billion revenue annually. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wa kwanza with $800M? Safaricom Revenue is $3B. Hiyo ni Azam ngapi?😂😂🤣
Hebu Leta ile list kuna kitu nataka nikuonyeshe. 🤣🤣🤣🤣

Halafu mbona umekomalia report ya ya last years.? 🤣🤣🤣 unaogopa nini.?
 
Unajua maana ya Revenue kweli? Bro hapa tunaongelea revenue, ama hata revenue ndio hujui ni nini? Alafu mbona unatuletea habari za 2022 which they made 117 billion?


View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1540236023300505600
 
Hebu Leta ile list kuna kitu nataka nikuonyeshe. 🤣🤣🤣🤣

Halafu mbona umekomalia report ya ya last years.? 🤣🤣🤣 unaogopa nini.?
Azam Revenue is similar to Revenue ya Supermarket ya Kenya moja😂😂🤣
 
Unajua maana ya Revenue kweli? Bro hapa tunaongelea revenue, ama hata revenue ndio hujui ni nini? Alafu mbona unatuletea habari za 2022 which they made 117 billion?


View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1540236023300505600
Source yako ni tweet.? 🤣🤣🤣🤣 hizi ni taarifa za Azam 2018. 👇🏾Haya na wewe nenda ukurasa wa Naivas kaleta za mwaka huu. 🤣🤣🤣. Coz credible sources zinasema ni 2 billion Kenya money.
 
Unajua maana ya revenue wewe? 2.5B was profit but revenue was 96B. Kweli wewe ni baboon.
Sasa we matako tunapigizana kelele za nini. Net profit ya Azam ni 105 billion Kenya money. Sasa tunalinganisha kweli hizi vitu.? 🤣🤣🤣 hii mada nimeiacha hapo. Biashara ya machungwa. Gross revenue ya Azam unazungumzia Billions of dollars.
 
Wewe hujui revenue ni nini nyamaza, I used to joke that you are a baboon lakini leo you have confirmed to me. Yani mtu mzima Kama wewe hajui revenue ni nini😂😂🤣
Eeeh Heb pitia hizi ili ulie..🤣🤣🤣👇🏾
 
Ebu tuonyeshe penye net profit yao ni 105B, let me just act dumb hili unionyeshe. I want to know if you really know what a profit and revenue is.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…