Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Hana historia yeyote anajua ukiachana na ile ya maumau resistance. 🤣🤣🤣Mwambie kulikuwa na Chama Cha Siasa kinaitwa Afro-Shiraz Party hapa Tanzania. Muuliza Shiraz people ni akina nani walioungana na Africa kumpinga mkoloni?
Kwa sababu ya umaskini wenu retailers wapo kibao sana in Tanzania na ukiweka combined revenue ya hao retailers inapita bajeti yenu ya miaka 30. Nyinyi kwa sababu ya uvivu wenu mnaona kuwa hivyo visupa market ni Dili. Huku nobody cares about supermarket na ndo maana Tanzania Kuna maduka mengi sana kuliko nchi yoyote east africaNaivas pekee ikona more Revenue than the biggest company in bongoslum, in fact it's almost double. Nyef nyef eti wakenya wanaptia hali ngumu yet our retail sector is bigger than all countries in the region combined.
🤣🤣🤣🤣🤣 wacha upumbavu wewe. Heb tuone hizo biashara za Naivas. Au wazee wa kuandika tu takwimu..? Umeona Azam hii mambo yake. Actually the biggest brand in East and central Africa. 👇🏾Naivas pekee ikona more Revenue than the biggest company in bongoslum, in fact it's almost double. Nyef nyef eti wakenya wanaptia hali ngumu yet our retail sector is bigger than all countries in the region combined.
Lakini robo tatu ya budget ni mikopo na kulipa mikopo inayobaki ni kuhudumia ikulu na government officialsBudget ya wachawi hata haifikii budget ya Kenya.
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1905717422872834076
ampuniUwekezaji wa makampuni ya Bakhresa Group of Companies Upo ndani ya mataifa 11 in Africa 👇🏾kuna kuna kichi cha EA kinadhani hakijatiwa mkono na Azam kinyooshe mkono juu 🤣🤣🤣View attachment 3308614
Mwambie twende namanga tuhesabu kwa saa Moja tu wakifikisha hata robo ya trucks zinazoingia Tanzania tunawapa mchele Bure wa mwaka mzimaLories zaidi ya 15 za Azam products zinaingia kunyarenda daily. 🤣🤣🤣👇🏾hapa walijaribu kuleta fix zao.
View: https://youtu.be/1LN-VC_KY9s?si=DfnfRRuVqtHdkPqM.
Anatakiwa ajue hao Shiraz waliingia South East Africa between the 13th century and 15th century wakitokea persia(Iran) eneo linaloitwa Shiraz. Walikaa maeneo ya Kilwa. Kumbuka miaka ya nyuma Kilwa ilikuwa mji mkubwa wabiashara.Hana historia yeyote anajua ukiachana na ile ya maumau resistance. 🤣🤣🤣
Na wanashindwa mpaka kulipa mishahara ya watu wa counties wakati kitu Tanzania tushamaliza hela ya sikukuu maana kitu kimeingia kabla ya tareheLakini robo tatu ya budget ni mikopo na kulipa mikopo inayobaki ni kuhudumia ikulu na government officials
Hachelewi kusema wakamba ni WA Tanzania maana same historyAnatakiwa ajue hao Shiraz waliingia South East Africa between the 13th century and 15th century wakitokea persia(Iran) eneo linaloitwa Shiraz. Walikaa maeneo ya Kilwa. Kumbuka miaka ya nyuma Kilwa ilikuwa mji mkubwa wabiashara.
Walisambaa Tanzania Inland na wakaenda mpaka Comoros.
Ndio maana kuna uhusiano mkubwa sana wa Tanzania na Comoros. Mimi mwenyewe ni Mixed Race, Bantu, Cushite and Shiraz. Sasa utaniita mimi kabila gani? Niliamua kuchagua kabila moja la Kibantu. Lakini muonekano wangu sio wa kibantu.
HohohohoHaha leta assembly plant ya scania trucks in Kenya ndugu usijidangany hapa utaumbuka tu
Wakamba aka Akamba ni wabantu hao.Hachelewi kusema wakamba ni WA Tanzania maana same history
Upgrade your Gemini AI Model bado unatumia Gemini ya kizamani sana ambayo haina akili 🤣 🤣 🤣 🤣
Si bora huyo imagine Kutuletea unknown cup ya 1970s.Habari za 2019 unatuletea in 2025? No wonder wewe ni watchman.
Revenue ya Naivas kampuni moja pekee ni ksh 96 billion. Numbers ziko wazi. Sasa kusanya hizo kampuni zote za mwenye Azam uweke pamoja alafu utuambie kama inashinda Naivas kampuni moja pekee.🤣🤣🤣🤣🤣 wacha upumbavu wewe. Heb tuone hizo biashara za Naivas. Au wazee wa kuandika tu takwimu..? Umeona Azam hii mambo yake. Actually the biggest brand in East and central Africa. 👇🏾View attachment 3308616it’s one among the largest in the whole of Africa. Hizi hapa ni compuni za Azam. 👇🏾View attachment 3308623katika hizi kampuni hakuna hata kampuni ya ya kunya inaweza tia pua yake kwa kampuni yoyote kati ya hizo. Unaleta utoto eti Naivas sijui. 🤣🤣🤣
Kunyans at best. Isn't the Boy South Sudanese.After making all the noise about Suluhu inviting Man U owner, it is Kenya that always gets to benefit 😂😂
View attachment 3306206
View attachment 3306207
Leta picture au video za assembly plant in Mombasa sio maelezo ya Ai. Hakuna assembly plant ya trucks in Mombasa na hakuna trucks zozote zinazoingia toka Mombasa .
45B si ni Talanta Sports city tu.😳Ksh45B is not even 0.00001% of Kenyan economy. Ebu sasa tuambie ni uchumi gani imeshikiliwa na hao warabu.
😂😂😂😂 Where your sources au umejtype tu.Tulichukua Tandale cup😂😂
Bongolala, Gor Mahia won Nelson Mandela Cup in 1987, a continental tournament for cup winners in CAF nations. The tournament was officially known as the Cup Winners' Cup and the last one was held in 2003. It was merged with CAF Cup to form what is today known as the Confederations Cup.
Here are the past winners of Cup Winners' Cup between 1975 and 2003. Umeona Yanga ama Simba popote?
View attachment 3306482
Then why msiwape wasanii wenu, useless kabisa yaani wasanii wanalia bado upo unaleta ufala hapaJust like his music, 75% of Diamond's followers are in Kenya.
Tanzanians don't even have the disposable income to pay more than $2 minimum wage in his concerts. I hear many get in free.
Don't worry, even Mexican and Canadian artists rely on the US for fame. It comes with being the bigger economy 😆😂😂
If you doubt it, let Wasafi and other Diamond properties show you their analytics.
From this article, in 2022, Diamond got 136 million views from Kenya, more than 50 million more views than from bongolala data-saving peasants.
I remember reading something similar some time back about Zuchu.
Kenyan factor in Diamond Platnumz’ huge success
Globally, in the past 12 months, Kenya was the main hub driving Diamond’s YouTube streams, attracting over 136 million views, with 107 million views originating from Nairobi.www.thecitizen.co.tz