Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we kondoo Uganda kuna roof tile maker mkubwa tuu Kajansi between Entebe and Kampala. Tanzania tile makers wako wengi hatuwezi nunu udongo from Ruiru utukome kabisa.
 
Wakenya wanaimport nguo through kariakoo kisa huku kumepigwa marufuku mtumba kupitia Mombasa. Same way Wakenya wakitaka kumimport gari mzee za 15 years wanaimport through Uganda ama Tanzania na Wana register huko huko.
Hao TikTokers wanachoonesha hapo ni mitumba au.? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Kwanza kariakoo na mitumba.? Wapi na wapi.? Watanzania wanaenda sana china kufunga nguo za special, viatu, cosmetics, gentlemen and ladies accessories, n.k . Mkiacha ujeuri mnaweza kututumia sisi na tukawapa direct connection na wachina mkapiga pesa. Sasa kama unaendelea kuleta ujinga kwenye mambo ya msingi nakusukitikia. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Tz kwasasa kibiashara ipo mbaaali. Nyie endeleeni kuwa mazombi kuagiza matakataka ya mitumba hayo.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ huyo shida yake ni mjuzi mno. Ni mpumbavu sana huyo. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
 
Sijaiona Mkenya anafurahiswa kupanda buses Kama hawa wachawi. Ni Kama wengi wao wametoa kijijini ndani penye hakuna hata barabara pikipiki, so wakipata chance ya kupanda gari wanafurahia kweli kweli๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Bana.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Yani nimekuonyesha Lori ya Tanzania ikibeba tiles Ruiru na unapiga kelele eti hamwezi nunua udongo kutoka Ruiru. Najua hujajenga nyumba, Jenga kwanza utajua tu ๐Ÿ˜‚
 
Jamaa amejipatia umaarufu mkubwa huko West Africa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Tanzanian Man and Nigerian Woman Come Together.
Wakenya hawana plan yoyote ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ

Jux & Priscilla

View attachment 3307271

View attachment 3307272
African boy, pictures of the year ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Yaani unafikiria Kenya tuna ubaguzi kama nyinyi ๐Ÿ˜‚
Sisi tuna wataalam wengi hakuna mgeni kuja kuchukua kazi labda zile ambazo ni za lazima na mara nyingi huwa wanatokea ulaya, America au Asia sio mvunja kuni aje achukue ajira kizembe zembe. Na kwa taarifa yako tulishaanza kampeni ya kuwatimua wageni hasa hawa wavunja kuni wa Africa including Kenyans, wote mtarudi kwenu mpambane na nchi yenu.
 
Nilitaka nimjibu hivi hivi, tatizo hawa watu ni washamba sn aloo ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Unaongea hapa yet Dar is Slum port is full of Indians, ama unadhani hatujui Adani alileta hadi watchmen wahindi? Thatโ€™s the reason wewe Kama watchman huwezipata kazi pale port.
 
Unaongea hapa yet Dar is Slum port is full of Indians, ama unadhani hatujui Adani alileta hadi watchmen wahindi? Thatโ€™s the reason wewe Kama watchman huwezipata kazi pale port.
๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ Unaumia sana kijana. Unaongea kwa uchungu sana, pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ