Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Analazimisha aonekane katahiriwa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Alafu kwann wakenya wana sura mbaya hivi? Awe mwanamke au mwanaume yn wako hovyo kweli kweli, ukipata mkenya yuko poa duuh ni nadra sn, hasa umkute ni wa mathare, pipeline, gorokocho et al kama hawa wa humu lazima awe hovyo, why???
 
"The government refused" uwanja ni wa gvt sio wa Mwendwa. Hivi huko kunya si mnalipia elimu Toka primary? Na mbona mnauziwa UJINGA?
Football stadia in Kenya are managed by FKL, not government. Government of Kenya are just check custodians
 
Kindly, back your claim with evidence.
 
Govi limekula ubongo wako. Tembea kidogo ya Nairobi uende hata Nakuru uondoe ushamba.
Ushamba gani ataondoa na Nakuru Kuna KFC? Tuonyeshe KFC ya Mwanza wewe kilaza wacha kutafuta pa kutorokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…