Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeingia kwenye mfumo

1. Arusha International Conference Centre

Tuwekee ya Mombasa tuone. Usikimbie

Arusha ni Switzerland of Africa
Kwa hivyo a conference center is part of infrastructure?πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Hii ulifundishwa wapi bongolala?
 
unless uwe hujui maana ya PPP unafkiri na nyie hamutoi pesa kuna its either inaeza kua china 90% to kenya 10% au china80% to kenya 20%

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona sauti za ngoma zinabadilika polepole, kadri ya jua inavyokua Kali🀣🀣🀣🀣🀣
 
Naona sauti za ngoma zinabadilika polepole, kadri ya jua inavyokua Kali🀣🀣🀣🀣🀣
kasome kwanza maana ya PPP mbuzi wewe alaf rudi hapa tuzungumzeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
When Kenya cancels unfavorable contracts tunadanganywa. When Tanzania cancels such deals like it did Bwagamoyo port, ni kwa ajili ya taifa. Mibongolala mnatia huruma jameni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
leo imekua unfavourable contracts wakat mulikua mukishangilia hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

niliwaambia kasongo anawadanganya yani jamaa anajua kuwatandikaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
leo imekua unfavourable contracts wakat mulikua mukishangilia hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

niliwaambia kasongo anawadanganya yani jamaa anajua kuwatandikaπŸ˜‚πŸ˜‚
When you signed Bwagamoyo port umesahau you people posted it here a million times a day? Kweli nyani haoni kundule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…