The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Do you know the meaning of beautiful?Kenya is beautiful.
Roho mbaya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unalalamika viti vimeng’olewa. Sasa hutaki vibadishwe.? 🤣🤣🤣.
Is this the current condition of the stadium?Kama Bernabeu mwanangu 😘 😘 😍 😍 🇹🇿 🔥 🔥 🔥
View attachment 3300570
Scenes from Mikocheni upande wa pili kutoka studio 😂😂😂Scenes za mikocheni Dasilinga. 👇🏾View attachment 3300755View attachment 3300756View attachment 3300757View attachment 3300758
Mji wenu wa uswazi hauna hadhi ya kuitwa jiji. Not my wordsUtoto pro max.
Uwanja unapigwa renovation kubwa, usisahau huo ndiyo uwanja bora EA na zimepigwa mechi kubwa kubwa hapo na ma star wakubwa wamecheza hapo.Is this the current condition of the stadium?
Mnaji console na picha za time ya covid?
View attachment 3300778
Hio tu ndio umeskia?Kwani sisi hatuna uwanja wa 60k seaters.?
Utoto huo we govinda.Mji wenu wa uswazi hauna hadhi ya kuitwa jiji. Not my words
Kasarani a 60k seater ilijengwa kabla ya mobile phones.., Tanzania walikua porini, mamako alikua anatafutwa na Mzee wako..,60k tulijenga kabla smartphone hazijaingia, nyie ni washamba.
Since morning mpk sasa picha ni hyo hyo vijengo vya mchina.Gani kama Nairobi?!View attachment 3300795
Frame 3 ni kale ka area ka cbd ya ghorofa tano kando ya barabara. 🤣 🤣 🤣
Watchman, I said those are not my words. Mbona hasira?😂😂😂😂Utoto huo we govinda.
Dasilinga kama Alaska mwananguuu. 🤣 🤣 🤣Scenes from Mikocheni upande wa pili kutoka studio 😂😂😂
View attachment 3300781
Wewe ndiyo uliweka hizo 60k seats? Uwanja hauna viti baadhi ya sehemu unapata wapi hiyo figure, anyways mnuka mavi kama wewe sina muda wa kubishana naye, pambana na Google 👇👇Kasarani a 60k seater ilijengwa kabla ya mobile phones.., Tanzania walikua porini, mamako alikua anatafutwa na Mzee wako..,
Frame 3 ni kale ka area ka cbd ya ghorofa tano kando ya barabara. 🤣 🤣 🤣
Hii wacha tuipatie South C ichangamke nayoYes hili hapa eneo linalowauma wakunya. 🤣🤣👇🏾sasa utaamua wewe ni gorofa tatu au tano View attachment 3300800
Hii mall ni kubwa sn aisee, walikuwa wanapiga kelele na two river, now two river inaonekana kituko mbele ya hili dude🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣