REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,683
- 11,711
"With all fairness, generally, how good is your league?"Very good. That's why it has produced teams and players that have beaten your local clubs and national team time and again.
Another question?
We mbona unatuelezea vitu vya miaka ya kale.? 🤣🤣🤣 Simba leo imefuzu semi finals huko CAFCLCC 👇🏾.Very good. That's why it has produced teams and players that have beaten your local clubs and national team time and again.
Another question?
Kijamaa kinatafuta engagement huku. 🤣🤣 leo hawakupi. Watu wapo busy na ushindi.Tanzanians hawapendi football. Look at how the stadium was empty, Alafu angalieni hiyo pitch😂😂😂
View attachment 3298274
Engagement gani yet I’m just stating facts? Umezoea kutafuta attention unadhani wote ni Kama wewe?Kijamaa kinatafuta engagement huku. 🤣🤣 leo hawakupi. Watu wapo busy na ushindi.
Kumbe ndio maana yule nyang'au kipchirchir Teargass leo hana la kusema?😂We mbona unatuelezea vitu vya miaka ya kale.? 🤣🤣🤣 Simba leo imefuzu semi finals huko CAFCLCC 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/p/DIPNgxeq5kt/?igsh=OGhhOXRnMTMxcWpv. Nyie team zenu ziko wapi.? 🤣🤣🤣. Unatuelezea habari za “tuli”. 🤣🤣
Facts zipi baba .? hatutaki. 🤣🤣🤣Engagement gani yet I’m just stating facts? Umezoea kutafuta attention unadhani wote ni Kama wewe?
I’m here laughing at your Stadium na wewe unaita engagement. By the way, mbona then umenijibu Kama indeed hakuna mwenye ananipea attention?
View attachment 3298279
Football is defined by history kijana wa Tandale. Does Simba have any continental trophy to talk about?We mbona unatuelezea vitu vya miaka ya kale.? 🤣🤣🤣 Simba leo imefuzu semi finals huko CAFCLCC 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/p/DIPNgxeq5kt/?igsh=OGhhOXRnMTMxcWpv. Nyie team zenu ziko wapi.? 🤣🤣🤣. Unatuelezea habari za “tuli”. 🤣🤣
Hawa wanajaza tu uwanja during Simba vs Yanga. These other matches ni mtihani wajaze hata robo ya uwanjaTanzanians hawapendi football. Look at how the stadium was empty, Alafu angalieni hiyo pitch😂😂😂
View attachment 3298274
🤣🤣🤣 we ni mpumbavu haswaa. Mpira ni sasa sio juzi, ubora wa timu unapimwa kwa uwezo wake wa leo sio uwezo wa jana. Kwahiyo nyinyi hamtuwezi kaeni kwa kutuliaFootball is defined by history kijana wa Tandale. Does Simba have any continental trophy to talk about?
Mtaacha lini kujitia umuhimu.? 🤣🤣🤣 takwimu za mauzo ya ticket kwa mchezo wa Leo hizi hapa. 👇🏾Hawa wanajaza tu uwanja during Simba vs Yanga. These other matches ni mtihani wajaze hata robo ya uwanja
Timu yao kubwa michezo miwili ya mwisho Agg ilisoma 6 kwa 0. 😂😂😂We mbona unatuelezea vitu vya miaka ya kale.? 🤣🤣🤣 Simba leo imefuzu semi finals huko CAFCLCC 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/p/DIPNgxeq5kt/?igsh=OGhhOXRnMTMxcWpv. Nyie team zenu ziko wapi.? 🤣🤣🤣. Unatuelezea habari za “tuli”. 🤣🤣
I thought it was a typo at first…. And this what Bongolalas are celebrating?..😛😀Huna aibu, 6 million kenya shillings!??
Basi nyamaza, najua inakuuma ndio maana huwezi nyamaza.Facts zipi baba .? hatutaki. 🤣🤣🤣
Hawa wanaharibu sn Kiswahili, wangebaki na broken zao tu.Kuropoka na si kuropokwa!
Kwamba mmeanza kuunda magari na hatujui? Hebu tuambie ni kiwanda gn hicho kinachounda magari huko hopeless country.Hii wanapita wima ni kama hawaoni🤣🤣
Mbona una crop picha, upande wa pili pako hivi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣