The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ume crop picha ili ujifurahishe but you know the reality that there was a huge construction of BRT road pembeni hapo no wonder ukachukua picha inayokupa faraja ya muda mfupi.We like criticizing.. that’s how some things get noticed and fixed. Remember the Chaka road in Kilimani? Its now fixed 👌👌
That’s why nilikusho tofauti yetu na yenu ninyi mkiwa na hayo miundombinu duni bado mnasifu rais wenu.
Ama unataka kuniambia kila kitu iko sawa? Jibu bila kusahau nimekuwa hapo mwenyewe 😂😂View attachment 3297523
Nimesome comments za wakenya hapo. Aisee wao wanabisha kila kitu cha Tanzania, ni kama vichaa vimewapanda vile. Siku hiz mitandao imewaumbua sana
Enda uliza wale wenye waliwajengea a half donut stadium.Haya mauwazi yanakuaga ya nn?View attachment 3297791
Unadhani fungulia dog watakaa wapi?😅😅Haya mauwazi yanakuaga ya nn?View attachment 3297791
Siku hz kila technology mpya lazima ianzie Tz alafu baada ya miaka kupita ndiyo uikute vinchi vingine vya EA, wanaumia sn msione hawasemi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unadhani fungulia dog watakaa wapi?😅😅
Mnapenda kumbe vitu kama hivi eeeehh, tatizo hilo basi halifanani na mazingira yaliyopo hapo, basi la kupigia picha, linakaa foleni masaa 10, kama sio uchale ni nn?
Built in Kenya by Kenyans at Masters.
View attachment 3297446
View attachment 3297447
View attachment 3297449
View attachment 3297450