Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣 cheki hii imeniacha hoi sana. View attachment 3296067Cc chongchung. hii picha uliijuaje mkuu.?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Acha tu hawa viumbe wapo hovyo kila idara πŸ˜‚πŸ˜‚ kwanza hawana nuru hawapendezi kwenye kila wanachovaa na hawana muonekano wala taste ya kushine πŸ˜…πŸ˜… em angalia hapo unaeza sema ni vichaa waokota makopo au waganga kutoka ukambani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kunyarender njoeni mjifunze hapa, mkisikia modern cities hivi ndivyo inafaa kuwa.. πŸ‘‡πŸΎ
View: https://youtu.be/lKTPetk_opI?si=QEkU_jr3J3bCrgld. Kwa hii organization yetu kwenye usafiri Bongo nadhani kwa Sub saharan Africa ni SA pekee labda ndio itatia pua yake. N-card Tz. πŸ‘‡πŸΎukiwa na haka ka card bongo unaingia kila sehemu ya public this the true meaning of modernity. kennedy0000. Na wewe mwaisa Sadima mwaiofhawaii. Njooni mjifunze bongo. Halafu mtueleze hiyo nairobi mnaita advanced city in EA kwa kuzingatia vigezo vipi.. 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…