Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kule Tanganyika hauwezipata uwanja umefurika hivyo kama sio Yanga na Simba ndio zinacheza
Nafurahi kuona watanzania hawawajibu kuhusu soka cz we aren't the same, tumewapita mbali kwenye soccer la vilabu mpaka national team, hatutawajibu kwasabu kwanza wachezaji wanalipwa pesa mingi kuliko nchi nyingi za hapa Africa, hatuwajibu kwenye soka, endeleeni kupiga kelele ila hatutowajibu.
 
What is your point exactly?
 
Changan auto kumbe ni show room ya Deepal na hatuambiwi jamani.? 🀣🀣🀣🀣 Changani auto Tanzania πŸ‘‡πŸΎ. Login β€’ Instagram. πŸ‘‡πŸΎ.
View: https://www.instagram.com/reel/C7JYyNCuWK9/?igsh=MTJxcHBxMTB5NGl3dw==.
 
Govinda umeathirika na ma slums ukajua hayo pia ni ma slums, hiyo ni smart city hairuhusu makazi holela kama Nairobi au Mombasa, nmekuvutia picha jionee bati nyekundu hizo 😘😘πŸ₯°πŸ₯°πŸ˜πŸ˜View attachment 3295190
Kumbe kimoyomoyo mnazitamani sana hizi bati nyekundu ila uwezo ndio hamna 🀣🀣🀣🀣



Bati nyekundu Dar 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…