Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utalii wa Kundustan unategemea 🇹🇿

Largest FDI ni 🇹🇿

Msosi ni 🇹🇿

Bado unataka orodha?
Wale omba omba kutoka Tanzania ndio unaita watalii?
FDI ya $72M for a span of 6yrs pia ni kitu cha kuringia?

Kenyans invested $570M in 2024 alone, now compare that na hile $72M in 6yrs mnatupigia nayo kelele hapa.

1743840727930.png
 
Whatever Arabs staying in Tanzania invested in Kenya for 6yrs is almost equal to what Kenyans invested in Tanzania for only 3 months.

This is what Kenyans invested in Tanzania from October to December 2023.

1743841367599.png
 
Hizo investment ni za watz wasiozidi watano, wao wame invest $500m huku Tz investors zaidi ya 1500, tukawa tunajiuliza hawa ni investors au wavunja kuni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hizi pesa zenyewe sidhani kama ni kweli 🤣🤣🤣 maana sijui hata hizo investments zao ni zipi, unaskia tu hela zimetajwa. 🤣🤣
 
Whatever Arabs staying in Tanzania invested in Kenya for 6yrs is almost equal to what Kenyans invested in Tanzania for only 3 months.

This is what Kenyans invested in Tanzania from October to December 2023.

View attachment 3293816
The stats for Tanzania r not true last year alone Amsons group invested over $180 mln!
 
Back
Top Bottom