Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si uongo, kama wangekua trendy basi wakenya wengi wangeitambua lakini wapi!.., section yao ya sports can't compete with Supersport ata robo!.., iko wired for Tanzanians not East Africans, ata Waganda niko sure hawaitambui..,
wakenya wengi sana wanaitambua azam tv na coast ya kenya karibu yote dish za azam zimetapakaa, nairobi mpaka kisumu dish za kutosha hata kati i was in migori wengi wanatumia azam tv, punguzeni wivu na chuki

supersport iko kwa ajili ya english premier league kwa soko la kenya hakuna kingine, lakini azam anachofanya ni kufufua mpira wenu uliokufa kwa miaka kadhaa ndio maana hata unaona wengi wenu munafurahia league yenu imefufuka yote ni juhudi za azam 😂😂😂
 
Mombasa ni base yangu, hapo umedanganya, uongo kabisaaa.., pengine Watanzania wanao ishi huku na wapwani wenye relatives kutokea Tanzania., internet connections, DSTV na GoTV ni zaidi ya Azam by far!!!,..., na kwa wingi wa smart na digital TV nani ananunua decoder?.., wachache sana!!!
Kisumu ndio umedanganya zaidi 😀 😀 😀 😀
 

Hawa kenge wa North kipindi Azam anachukua haki za ku rusha hizo mechi walidhani wataweka ukora wao wa kuchakachua na kuangalia bure hizo mechi.

Sasa wachague kununua kisimbusi cha Azam wa angalie mechi... Au watulie hadi mkataba uishe na wasimuongezee tena. Ila mambo ya kuangalia chanel za bure kama DSTV hiyo hakuna.
 
Wewe ni mjinga tu, hakuna unachojua. Azam does not sponsor kpl neither does it sponsor any team there. Kwa Sasa kpl haina sponsor. As for teams, Gor Mahia is sponsored by Sportpesa, AFC Leopards is sponsored by Betika while Tusker is sponsored by EABL. Ingekuwa Azam insponsor any team in that league, tungekuwa tunaona logo ya Azam at the front of those teams' jerseys. Tell me any team that has Azam logo on its Jersey in KPL. Wewe desperation itakuuwa bure
 
Wakenya wengi wanaifurahia sn Azam mana ndiyo mkombozi wao kwa sasa, hizo kelele zinapigwa na hawa wezi wa mtandaoni wazee wa tuma kwenye namba hii.
 
Wakenya wengi wanaifurahia sn Azam mana ndiyo mkombozi wao kwa sasa, hizo kelele zinapigwa na hawa wezi wa mtandaoni wazee wa tuma kwenye namba hii.
Unatamanigi hisia zako zikue ukweli, pole sana mko peke yenu na Azam yenu hehehe..,
 
Wakenya wengi wanaifurahia sn Azam mana ndiyo mkombozi wao kwa sasa, hizo kelele zinapigwa na hawa wezi wa mtandaoni wazee wa tuma kwenye namba hii.

Wakora wengi kwenye huu uzi ni wash wash ndio... Wanatapeli wazee wa kizungu kwa kuwarushia picha za malaya kumbe ni madume... Wengine wanageuzwa tu kwa uvivu wao wa kufikiri...
Njaa kali sana hawa... 24/7 wapo mtandaoni tu kutafuta fursa kwa vibabu vya kizungu
 
Kwasasa vumilieni tu hakuna jinsi, Azam ndiyo main broadcaster wa ligi yenu dhaifu, hata jezi za timu yenu kubwa zinadizainiwa na mtanzania, vumilieni tu.
😂😂😂
Kumbe naongoe tu ba kilaza asiyejua lolote. Eti jersey za timu zetu zinadisainiwa na mtanzania?🤣🤣🤣🤣🤣
You design those ugly kits and make noise about it you forget we designed one of your Blue Towers that will be there for hundreds of years wakati your ugly kits won't be there a year or two from now!
 
Eti EPL sio kiosumbele Tanzania? Are you referring to the best and most famous league in the world ama kuna EPL nyingine?

Enyewe mitanganyika mnapenda kujitekenya 😂😂
 
Eti EPL sio kiosumbele Tanzania? Are you referring to the best and most famous league in the world ama kuna EPL nyingine?

Enyewe mitanganyika mnapenda kujitekenya 😂😂
Tumeshatoka huko.Sasa Nyumbani zaidi those days Epl had conquered but now days local league has conquered na sababu ni Live coverage za Azam tv
 
Hivi unajua kuwa nembo ya Azam zipo kwenye jezi za timu zote za KPL au unapayuka hapa kigovi govi, embu nenda kaangalie jezi za timu zenu.
Azam ni sponsor wa timu zenu zote ndio maana logo yake ipo kwenye jezi.

View: https://x.com/afcleopards/status/1906658608869175407?s=46
 
People are moving away from decoder Nyinyi bado mmekuamilia kwa old world. Ni lini mtacivilize Nyinyi wachawi?
 
People are moving away from decoder Nyinyi bado mmekuamilia kwa old world. Ni lini mtacivilize Nyinyi wachawi
Nimecheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…