Unaitwa Sokoine stadium. Kama Alaska mwananguu.ππCheki ushuzi kutoka best league in Africa, kama Europe mwanangu NairobiWalker
View: https://x.com/FKihamu/status/1906350783035035859?t=21ovYArfCfLuOIwPKX-5ZA&s=19
I donβt need your suits , got enough but you need shoes and thatβs a fact ( swallow your Bongo pride).
View attachment 3288760View attachment 3288762View attachment 3288763
Ali hassan mwinyi nadhani ukifanyiwa rennovation ya maana inaweza kuwa na seats hadi elfu 80,ule uwanja ni mkubwa sanaA better version of CCM kirumba . Naamini Kirumba ikiwekewa seats na kufanyiwa rennovation inaweza kuwa kubwa kuliko Nyayo stadium. Anyways Hongereni kwa kujaza 30k seats . Tz derby huwa ni over 60k plus
Wameboeka mbaya sana. Zero hype. π€£ π€£Free entry, lakini Bado jamaa wameboeka, kwani wanataka Nini au hawajakula ππ
Kenyan football inawauma na ndio tumeanza. Huyo ni bongolala mwenzenu anaumwa kweli kweli.
You are seeing this the first time I see,Weep harder. This is pure football atmosphere ambayo huwezi kuipata huko bongoslum.
View: https://x.com/OfficialGMFC/status/1906628347636895846
Huyu bwana si alikalia kiti cha rais wa marekani sasa vipi tena πππ
Eti for the first time, ndio maana nimekuambia weep harder. Kenya has been a football powerhouse from way back when bongoslum had nothing. Sahii tumeanza kurudi after the break na mumeanza wasi wasi. πYou are seeing this the first time I see,
By the way, next week Simba has a Caf Confederation Cup Quarter finals game at Ben Mkapa Stadium against Al-Masry from Cairo,
massive campaigns ni wiki nzima prior to the game, just follow Simba pages and see how Big teams handle this .
Mnachekesha kweli kweli, yn ndiyo mnaanza leo kampeni ya kuinua soka lenu ili muwe kama watanzania? Nawatakia kila la heri japo mtafika tulipo mkiwa mmechoka sanaa π π π π π πWeep harder. This is pure football atmosphere ambayo huwezi kuipata huko bongoslum.
View: https://x.com/OfficialGMFC/status/1906628347636895846
Kumbe mnapenda mpira eehh, huwa mnaumia timu za bongo zinavyofanya vzr kimataifa eti π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Our Football is back. Majirani wanaumia. π€£ π€£ π€£ Nick Mwendwa alituharibia football but we have taken back our sport.
View: https://x.com/Slumphotography/status/1906465393083826312
But How ?Hizi nivitu tulikua tuunafanya hata kabla mjue mpira ni nini, we are back to take our spot in football. Mkae kando sasa.
Naona umekosa come back maskini and gloomy bongolala. π€£But How ?
Aren't you forgetting that you don't have money mate? πππ
So you believe thatβs not me in those photosβ¦ kwani ulikula nini Eid feast?..π€£β¦. I know deep down your soul you are really craving for my help ( new Js) but you are suffering from a case of TI ( Tandale Ignorance), so suit yourself my friend. You got 3 more days or the offer is off the tableβ¦Meanwhileβ¦..View attachment 3288790
Kubwa jinga mzee wa over size,anza kujinunulia mwenyewe suit,ukajiachia sura humu ulivyo hauna akili then now unaiba picha za watu unajifanya ni ww!mzee wa kuwa na wajukuu unakua na akili za kifala
Jezi ya Azam ileeee, hapa hazikosi jezi za Simba na Yanga π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Match buildup, the best football atmosphere in EA.
View: https://x.com/TemperCR7/status/1906285140491243835
I'm in bern switzerland,so kubwa jinga u believe I couldn't buy a shoes au sina pairs zingine za viatu,mshamba jinunulie suit ya size yako kwanzaSo you believe thatβs not me in those photosβ¦ kwani ulikula nini Eid feast?..π€£β¦. I know deep down your soul you are really craving for my help ( new Js) but you are suffering from a case of TI ( Tandale Ignorance), so suit yourself my friend. You got 3 more days or the offer is off the tableβ¦Meanwhileβ¦..
View attachment 3288813
The thing is you are so delusional, Unadhani you will just be on top by overnight,?Eti for the first time, ndio maana nimekuambia weep harder. Kenya has been a football powerhouse from way back when bongoslum had nothing. Sahii tumeanza kurudi after the break na mumeanza wasi wasi. π
Mko desperate kweli kwel. π€£ π€£ Kenyan football inawapea wasi wasi hadi una hallucinate na team za bongoslum at Kenyan football match.Jezi ya Azam ileeee, hapa hazikosi jezi za Simba na Yanga π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£