Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,207
- 35,588
I wasn’t kidding. My conscience is clear. I will buy you the shoes. Don’t be embarrassed. We all need someone to lean on in hard times . You can send an office address to protect your privacy, even stick to your fictitious name. Just say when and I will head to the Nike store near me .. am waiting..tik tok tik tok ..
AFC Leopards just made 7.3m about 147m Tz money in a derby yesterdayHukuona hii?😂😂🤣👇👇👇
Full season Simba and Yanga only collects 800M in gate collection. One derby match brings a revenue of 545M leaving the remeaning 18 matches with 255M. So technically ni kama all matches apart from derby Simba and Yanga anly gets 700k kenyan money in ticket sales, Shabana gets double that in every home game. 😂😂🤣🤣
View attachment 3288309
Mbona pesa ndogo? Azam wanapata kila mechi pale Chamazi!
Uwanja haufiki 10k capacity alafu wacollect 7.3M? Labda kwa hayo madafu ya Tanzania.Mbona pesa ndogo? Azam wanapata kila mechi pale Chamazi!
Tukamuita bwana mapesa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi si ndio alidownload pesa kipindi fulani akapost humu kuwa ni zake! 😂😂😂
Msimbazi hovyo sn kwa sasa.Kariakoo ni disaster. Bodaboda na bajaji wanapark na kupita kila mahali. Msimbazi street sio poa aisee.
Kimsingi Dar haina uongozi kabisa kwa sasa
Kwani Hawa watu wanatoa cash on entry? 😃😃
That championship league is worthy more than your poor premier league matches,Cheki ushuzi kutoka best league in Africa, kama Europe mwanangu NairobiWalker
View: https://x.com/FKihamu/status/1906350783035035859?t=21ovYArfCfLuOIwPKX-5ZA&s=19
Duh pale balaa mzee wangu.Msimbazi hovyo sn kwa sasa.
Alisahau ku crop hiyo Azam, ukiwa muongo uwe na kumbukumbu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe nawe una Azam TV, A Tanzania broadcasting Company.
Mbona wadanganya kila siku. Ati no kenyans watch Azam TV?
Halafu hii Stadium mbona haina tofauti na Tabora Stadium huko Tabora
Sasa uwanja wenyewe uko wapi hapo wa kujisifia umejaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shida sio kununua ticket, shida uwanja umejaa. Yani ticket zimeuzwa zikaisha. Wacheni unafiki.
Kaenda Oman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe umetembea wapi.? Unanipigia kelele tu. 🤣🤣🤣
😃😃😃 Uwanja wa 15k spectatorsSasa uwanja wenyewe uko wapi hapo wa kujisia umejaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahahaaaaa, sasa angalia bingwa wa Kenya anapata sh ngp alafu angalia bingwa wa NBC pl anapata sh ngp zen utagundua jamaa wanalazimisha battle ya kila kitu na sisi wakati hakuna uhalisia.Angalia hii “dabi” 😂😂😂View attachment 3288029