Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Derby za kuingia free usituletee hapa tafadhali.
Hakuna dabi ikiyowahi kuchzwa bure. Usitafute pa kukimbilia. 🤣🤣🤣

Level tulinazo kimpira wa vilabu na ushabiki nyie mtafika huko after a decade.

Kwanza league yetu ni ya 4 kwa ubora Africa nzima, Simba vs Yanga ni dabi ya tatu kwa ukubwa Africa.

Ajabu eti kenya nao wanashindana na sisi while league yao haipo hata top 20. 🤣🤣🤣
 
Sasa siku utavuka border uingie nchi jirani huku kutakalika kweli? Maanake umetembea 1/3 ya Tanzania pekee unajiona gwiji wa kutembea.
 
Ebu tuonyeshe ni lini ulilipa? Na utuonyeshe ticket hapa.
Ila we kwa kubadili mada 🙌🏾🤣🤣. Ukishindwa tuliza matako.

Level ya Tz kisoka ni kubwa, nyie tafuteni mada za mbio za riaza huko ndio mnatupiga bao, ila kisoka sisi kama England ya EA.
 
Sema ahsante kwa Azam
 
Wewe umetembea wapi.? Unanipigia kelele tu. 🤣🤣🤣
Wacha nisikuumize self esteem maanake ulivyo without exposure nikikuambia hutoamini. Free advice, tembea nje ya Tanzania ujionee mengi. Ukifika pale Kampala Waganda wana msemo huenda hivi, "He who hasn't traveled widely thinks his mother is the best cook".

​

Ushabiki gani unaongelea wakati your national broadcasting station want Tanzanians to copy Kenya?
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/18UfYf6XFN/
 
Ila we kwa kubadili mada 🙌🏾🤣🤣. Ukishindwa tuliza matako.

Level ya Tz kisoka ni kubwa, nyie tafuteni mada za mbio za riaza huko ndio mnatupiga bao, ila kisoka sisi kama England ya EA.
Soka gani gani unaongelea yet Kenya is the onky East African Country with a Team that has ever won a continental trophy. Nyinyi mshaiwin nini?
 
Mkenya mwenxako kafika Arusha tu anasema anaijua Tz nzima. 🤣🤣🤣 mwingine anadai yeye ni mmarekani kwasababu anaishi huko kapost picha kibao humu, wew ndio ungekua umesafiri si tunge koma. 🤣🤣🤣.
 
Soka gani gani unaongelea yet Kenya is the onky East African Country with a Team that has ever won a continental trophy. Nyinyi mshaiwin nini?
Endekea kutaja vitu ambavyo havipo. 🤣🤣 ukweli uko pale pale. You are nothing to us likija suala la soka.
 
Sasa cha kujifunza hapa ni kipi.? Kuujaza uwanja au nini.? 🤣🤣🤣kwasababu kama ni kuujaza uwanja sisi ndio bora zaidi sub sahara africa.
Mjifunze kupenda ball. Yani watanzania hawaendi stadium unless kiingilio ni free😂😂
 
Mkenya mwenxako kafika Arusha tu anasema anaijua Tz nzima. 🤣🤣🤣 mwingine anadai yeye ni mmarekani kwasababu anaishi huko kapost picha kibao humu, wew ndio ungekua umesafiri si tunge koma. 🤣🤣🤣.
He simply stated his observations which your chimpanzee level IQ wasn't enough to engage in an intelligent manner so your low self esteem kicked in. The same person has posted photos here of himself in China. mwaiofhawaii does live in the US. Meanwhile wewe ulipanda basi wiki mbili ulishinda ukipost picha humu ukiwa kwenye basi. You clearly lack exposure. No wonder akina Teargass wanakuita fukara wa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…