Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

By Cooked data assistance
Kama ni cooked data mbona serikali ya Tanzania haijawaipinga? Balance of trade between Kenya and Tanzania is known by all parties so kama moja amecook yake then the other party should know and raise the flag but because there is no raised flag by your government, then it automatically become genuine data.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Wewe bado ni bogus kwenye budget figures, hizo ni dreams tu hasa ninyi hata nusu ya hiyo dream huwa hamfiki, ndio maana huwa mnafanya allocations of billions lakini hata kilometers 2 za barabara hamuwezi kujenga.
So zile barabara zinajengwa na GOK hapa Kenya huwa zinajengwa upande wa Tanzania ama? Siku mtaamua kukubaliana na ukweli ndio utaanza kuishikwa amani.
 
Gikuyu wanataka kupindua Nchi hukoo...

Historia ya 1982 itajirudia!? Je this time watafanya cover kwa kumtanguliza jaluo kama Ochuka!? Au watasonga wenyewe....

God forbid!
 
40 minute video for a radius of less than 200 meters, kweli Tanzania wameishiwa what to showπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
200 metters.? 🀣🀣🀣 bongo inakuuma balaa. Haya endelea kulia sasa. πŸ‘‡πŸΎclean, modern and beautful streets kama hizi hauwezi pata popote EA. 🀣🀣
 
Why post sevefal picture of the same area? This is the reason i said the video only focused on a 200 meter radius.
 
Ongeza na hii hopo ni CBD
View attachment 3286339
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuanzia ngazi, mlango na hata eneo lenyewe lilipo hilo dude ni Hatari πŸ˜‚. Kwa kifupi hiyo ni silaha yenye ncha kali.

Wakati Mtanzania wa Kawaida atakua anaenjoy golden dragon xml6125cle. Mkundustan anayejiita tajiri bado yupo mavumbini na hajui πŸ˜‚


Soon CNG Bus ( Blue golden dragon xml6125cle) Bus zitakua mitaa ya Dar . Huku wakundustan wakipata Tetenasi na rusted building material juu ya Chasis ya FusoπŸ˜‚




 
Wamefilisika hadi mawazo pia
 
hvi ndinda mbona we mchokozi sana alaf baadae munakimbia munaniacha mwenyekiti narushiwa ngumi za hewaniπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…