Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu mbona Wabongo hamuachani na hizi vihiace vya 1980s? Yani hata vya 1990s havipo. Barabarani naona tu kuanzia 1989 kurudi nyuma.

View attachment 3282041
Kwahiyo hizo latest za Kunyaland ndio hizi au mna nyingine? 😅😅😅 Ninyi watu mnajua kujizima akili, barabara zenu zimejaza matakataka lakini mpo hodari kukosoa wengine 😅

 
Mbona nyie hamuachani na hizi?
I took these photos myself two days ago View attachment 3286201View attachment 3286202View attachment 3286203View attachment 3286204
Those are nice cars. They're actually newer than most cars on Bongo roads and are in good condition. They are also not the only cars on Kenyan roads. If I buy a new car and use it till its old yet still functioning, I won't just dispose it for the sake of it. The daladalas in Tanzania however are ALL old. like, there was no single daladala younger than 25 years. That's just weird.
FYI here are what typical cars on Bongo streets look like. Took the photo myself too.

 
Dar is slum you can't find this level of organized residential areas. Kule ni confusion everywhere you look.

Buruburu to the left and Umoja to the right with Outering Road snaking its way in between
 

The first time I visited Nairobi was 2014, just graduated ,
That time I saw some few cool European brands in Nairobi,
Nowadays you rarely spot a VW Touareg V6 ya 2012, huku bongo kwa Sasa ni kama uchafu , you guys are really broke, kwa Sasa mmechoka wasee, mmejaza 2002 probox Hadi cbd ?
I can tell you , yes we are all having challenges with buying decent cars,but now Tz closed the gap long ago.
Barabara zenu zimejaa Toyota and Nissan jalopies all over ,
Halafu unaongelea daladala? Hoyo madude yanaandikwa Saco how old are they ? And how do you guys commute on such things ? What about safety?
And why are they all Saco ? They look like they come from same manufacturer.

Hata buses za JKIA choka mbaya ,

Btw have you also wondered how JKIA ended up having more Massey Ferguson tractors than a typical large scale plantation field?
 
Kiingereza imekuwa ngumu kwenu kweli kweli. NairobiWalker her is another student for your short course😂😂
Wewe ****** si jmesema Tz imewekeza less in Kunya than kunyans in Tz kwasababu umeona figure $78 million.? 🤣🤣

Sasa usikwepe mada ****** wango. Hiyo 78 million it was just an investment for a year. Na ndio mana nimekwambia leta hiyo investment ya $2 billion enye mliwekeza bongo last year kama ulivyo claim. Usikwepe mada mzee 🤣🤣🤣
 
Hakuna kitu kinajengwa hapo, najua mnatamani kuona contruction ya buildings of o er 20 floors lakini hamna😂😂.

Nyumba zinawezwa off plan. Unajua hata what offplan is ?

Baboon bwana. Yani niumie kisa mnajenga gorofa moja 20floors?
Mweza matapishi yako hapo juu..🤣🤣🤣 unaumia kinoma ukiona maendeleo ya Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…