Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20 floors. Sky Royal Morocco Dar es Salaam coming up. 👇🏾hii inajengwa pale nyuma ya morocco square.
 
🤣 🤣🤣

Sema Kenya wanafanyia Waafrika tuonekane Nyani, sasa Nini mlifanya hapa au ilikuwa ni opportunity ya Kuiba pesa ya umma
Najua kitandi unaumia? Siku makwapa itafikia Kasarani njoo tuongee😂😂🤣
 
Niliahidi na nimetekeleza.
Hii ni upcountry bus terminal ya Nairobi
Hiv haya Magari ni ya 2025?

Na NairobiWalker mbona mwabadilisha maroli na canters kuwa buses?
Hii ni aibu kwa capital city kuwa na Usafiri wa namna hii. Halafu probox kibao za 2000s zimejaa Nairobi. Hizo hiace ni za mwaka gani?
Tazama hii video

View: https://youtu.be/laOuukHt7hw?si=KNy5cCpCashec6Ov

Picha zaidi
 
Hakuna construction inaendelea pale, hiyo ni render tu. Uzuri they have finally got an rendef for a 20 floor building😂😂
Wueeeehhh umeona vile ziko overpriced yet ni off-plan. Now I understand why investors are shying off.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…