Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo ilifikaje Kenya na kupewa plate numbers za Kenya if it wasn't meant to roam the streets? Wewe bwege sana!
so kama alienda kwenye showroom nje ya kenya akaweka plate number utajuaje ww kondoo usokua na ubongoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ so far kuna mtu anawaamini nyinyi mpaka wanyama hawana imani na nyie


View: https://www.instagram.com/reel/DGqyloat0LZ/?igsh=MXBtYmViY3RsZDdqdg==
View: https://www.instagram.com/p/DGf1VcqNo6H/?igsh=MTd4NzE5OWtibzYxaA==
View: https://www.instagram.com/p/DGQgZ22N605/?igsh=Njdpc21nazdpamxl
 
watu washaningiza G wagon maybach G900 2025
RSQ8 2025 from mansory πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://www.instagram.com/reel/DE2eaJvNT9Y/?igsh=YWpnbnNldHEwYnR2
Another lie from Jaba Hot riders. Not even a fool can believe hapo ni port of Dar is a slum, magari zenyewe hata ni LHD. 🀣 🀣 🀣 Unadhani sisi ni wajinga kama bongolalas wenzako.

Hii hapa ni 2025 Audi RSQ8 ya ukweli inauzwa in Kenya na sio story za jaba, unapigiwa hadi review.


View: https://www.instagram.com/p/DG3cc5pIMv6/
 
kumbe inauzwa huku watu washanunua tayari iko barabarani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
tena ni masnory brand kaulizie bei yake ikishatoka mansory



View: https://www.instagram.com/reel/DE2eaJvNT9Y/?igsh=YWpnbnNldHEwYnR2
 
Jaba hot riders. 🀣 🀣 🀣 Page za luxury cars za ukweli bongoslum tunazijua.Sisi sio wajinga bana.
 
RR spectreπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wabongo usishindane nao mzee na hawana hata majina kabisa vijana wadogo tu


View: https://www.instagram.com/reel/DHqZOMoNg1Z/?igsh=NWlkZnpjeWZhOGs2
 
Jaba hot riders. 🀣 🀣 🀣 Page za luxury cars za ukweli bongoslum tunazijua.Sisi sio wajinga bana.
kama inauma naomba nichomoe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

mtu kaenda na plate number ya kenya kabandika kwenye showroom za watu nje ya nchi anawadanganya kanunua bugatti ya 2008 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa kondoo ni wewe who believes you can go in a show room in a foreign country and insert foreign plate numbers on vehicles in a showroom

Foreign country Myemen
 
The real Serena Hotel Dar is a slum. Nimekuambia sisi sio wajinga. 🀣 🀣 🀣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…