Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni kama ***** flani, halafu unaona raha kujidanganya. Hao hao khushi motors wanauza Lambo DSm. 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/p/DGnBxFZNfZ9/?igsh=MTQ3Nmduc3pzMThhdg==.
Hata Kenya wanauza hizo Urus, tena washauza kadhaa. Lakini huwezi pata wanauza fossils, gari za 1990's. 🤣 🤣 🤣

Ona munauziwa gari ya 1998 hata kabla uzaliwe, kwanza nime notice hizi fossils ndio wanauza kwa wingi huko bongoslum. Na bado hamfiki bei. 🤣 🤣 🤣


View: https://www.instagram.com/p/DGxJm7Jt3fh/?img_index=1
 
Wewe ni zuzu.?

Ulianza kusema khushi motors wanauza gari za zamani Tz unlike in kunya where wanauza gari za kileo, ukaweka na reference to support your claims. Mimi nimekuonyesha kutoka kwenye huo huo ukurasa wa khushi motors wanauza Tz ambapo wanauza Lambo. Sahii umerudi tena ooh kenya hakuuzwi gari za zamani 🤣🤣🤣🤣.

Nimekuulize maswali, kwanza hao khushi motors wao ni nani hapa Tz. wao Ndio top car dealers.? 🤣🤣🤣 wacha umatako hao wapuuzi ni wageni na hawana soko bado. Waache wapambane.
 
Ngoja ngoja. Nikuletee picha za magari na vipanya Nairobi vya miaka 1990s. Yáńí mnajishaua kama vile Nairobi hatuijui vile

Yes Arusha kuna costas za watu 25 nowdays, route nyingi, tofauti na zamani
 
Ngoja ngoja. Nikuletee picha za magari na vipanya Nairobi vya miaka 1990s. Yáńí mnajishaua kama vile Nairobi hatuijui vile

Yes Arusha kuna costas za watu 25 nowdays, route nyingi, tofauti na zamani
Soma post yangu vizuuri utaielewa.
 
Na kwani nimedanganya? Si ni ukweli wanauza fossils. The fact is huko bongoslum wanauza fossils kwa wingi sana compared to their dealership in Kenya. Au bado unapinga niangushe evidence ingine ya fossil.
 
au sio ndio unavojipa matumaini 😂😂😂
nimekuuliza munawawesa watanzania kwenye magari nyinyi???
Tushindane aje na watu wana import magari za 1990's 🤣 🤣 🤣 We are not on the same wavelength.
 
Na kwani nimedanganya? Si ni ukweli wanauza fossils. The fact is huko bongoslum wanauza fossils kwa wingi sana compared to their dealership in Kenya. Au bado unapinga niangushe evidence ingine ya fossil.
Sasa kama wanauza fossils na hiyo Lambo nayo ni fossil.?

Hao jamaa ni wageni Tz, soko Lao Ndio kwaanza wanaanza. They are nothing kwa soko ya magari TZ.
 
Sasa kama wanauza fossils na hiyo Lambo nayo ni fossil.?

Hao jamaa ni wageni Tz, soko Lao Ndio kwaanza wanaanza. They are nothing kwa soko ya magari TZ.
Finally umekubali wanauza fossils. 🤣 🤣 🤣 Na si wao pekee, delaerships zenu nyingi zinauza magari mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…