Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,191
- 107,783
Ebu taja jina la mwenye alikuambia hivo. Alafu wewe fossil bado mtu anaezakudanganya na hiyo miaka yako yote?
View: https://x.com/StandardKenya/status/1904506123534930237
MY TAKE
Kwani Si tuliambiwa huu uwanja ni 60,000 seats capacity?
CC: Teargass njoo utueleze hapa!
Hiyo ni chai Mzee kumbuka Makonda anagombea Ubunge Arusha! Hamna Mchakato Rasmi wa ujenzi wa SGR bila upembuzi yakinifu kuanza!ni Arusha tena. ππΎ
View: https://www.instagram.com/p/DHn3GQ8MFaL/?img_index=4&igsh=MWpheng5cWR4Z2FzYQ==. Huu mchongo ukikamilika Arusha itakua imeji position nafasi kubwa mno kwa hapa Africa. Hivyo viji naipori vijipange. π€£π€£
What do you think?Does that sticker really looks like manufacturer's emblem?
Nani alikuambia?π...Hamna stadiums.
ndivo mulivodanganywa hvo ππππ
Kwani Mchengelwa ndiye alitoa ruhusa ya malori kupita hapo? Hapo Chalamila ndiye anapaswa kuwajibika!waziri mchengelwa bado anafanya nn ofsini mpaka sasa hvi? au ndo mkwe tena asigusweπππππ
View: https://x.com/adventure_36/status/1904530568282349840?s=46
alitoa kauli hio mara ya kwanza hvi juzi ni kama alikuja kupinga kauli yake tuKwani Mchengelwa ndiye alitoa ruhusa ya malori kupita hapo? Hapo Chalamila ndiye anapaswa kuwajibika!
Leta evidence Mchengelwa aliruhusu!alitoa kauli hio mara ya kwanza hvi juzi ni kama alikuja kupinga kauli yake tu
yani hakuna wizara iko mess up kama wizara ya tamisemi, kuna hii mukopo wanapewa vikundi bila riba yani hii ni kama cancer kwa tanzania awamu hii ya mchengelwa kumekua na mambo ya ajabu sijapata kuona, alaf anatoka mbele kujisifia
sikiliza hii video kuanzia sekunde ya kwanza mpaka ya 30 alaf utanijibu aliwahi kutoa agizo hilo au hakuwahiLeta evidence Mchengelwa aliruhusu!
Nilijua tu lazima ungeumia.ndivo mulivodanganywa hvo ππππ
ikiwa mushapoteza over 1b kutoka mfukoni mwenu watu wachache wamekula for nothing
Hii hata msisumbuane nayo, JKIA to win this award again.