Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila siku me nasemega wewe ni zezeta sasa una brag hiki kidubwana.? Eti ooh Bongo huezi kuvikuta. Naakati sisi tunatumia BRT buses ambazo zimegaa in almost all over Dar city. Una brag kwa kuwa na hivi vipanya kweli.? 🀣🀣🀣
Teargass ebu Lete Ile picha ya baboon. Hiki kitoto kimeanza kunifuatafuata tena.
 
Kwahiyo hapo kumbe battle ni Nairobi vs Arusha..? 🀣🀣🀣 BTW hizo ni daladala za mitaani tu, safari za less than 20 km. In Nairobi si far vitu zinakaa hivi. Vipanya kibao tena vile vipanki. πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸΎ
 
Kuna pesa hosting nation hupewa. But how will you know when hata kuhost sherehe za kuchi ja imewashinda?

Again those cars and gadgets were ferried by Kenya airways. Najua wivu ndio inawasumbua wewe mkimbizi.
mulipewa bei gani ikiwa munatumia over 1b ksh kutoka mfukoni mwenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

eti zililetwa na kenya airways πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

akili zenu nyinyi zimejaa funza kila politician anawaza kuiba pesa tu
 
Kwahiyo hiyo picha ni wapi we famba.? 🀣🀣 dunia kuna mtu utadanganya kweli.? 🀣🀣🀣
Tembea kwanza. Fika Nairobi ndio ufike ligi ya kupingana nami. Vuka border for once utoke Bongolala. For now endelea kubishana story za Simba na Yanga hapo vijiweni. You're not my mate.
 
Tembea kwanza. Fika Nairobi ndio ufike ligi ya kupingana nami. Vuka border for once utoke Bongolala. For now endelea kubishana story za Simba na Yanga hapo vijiweni. You're not my mate.
Fala umefika bongo unaona umefika ulaya .? Tena bongo enyewe Arusha ambayo unavuka kimagendo 🀣🀣🀣🀣 choko kweli hili jamaa. Hapa kundurenda kuna nini cha kuona.?

Tena kufika kwako Arusha enyewe ni kwasababu Arusha na Naipori ni pua na mdomo, fika hata Dar uone treni ya umeme na blue buses. 🀣🀣🀣 kama kweli unajiweza.

Unafika Rusha unazurura kwa miguu kama mbuzi. Eti unasema i am not your mate. 🀣🀣🀣 vutuko vya dunia hii
 
View: https://vm.tiktok.com/ZNdRSWSns/ sawa,hii min bus ni new model ya 2025
 
Tembea kwanza. Fika Nairobi ndio ufike ligi ya kupingana nami. Vuka border for once utoke Bongolala. For now endelea kubishana story za Simba na Yanga hapo vijiweni. You're not my mate.

Naipumbu ipi unayooiongelea,ya kwenye hii picha au nyingine πŸ˜‚
 
Usikose kufika gongo la mboto 😁 😁 😁 Nasikia uko ndio Newyork ya EA
Hapo Arusha enyewe kufika ni kwasababu ya ukaribu kutoka naipori. Hata asijipe moyo. 🀣🀣🀣. Unafkiri Dar ni matako, kwamba maskini kama huyo atafika tu kiholela.? 🀣🀣
 
mulipewa bei gani ikiwa munatumia over 1b ksh kutoka mfukoni mwenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

eti zililetwa na kenya airways πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

akili zenu nyinyi zimejaa funza kila politician anawaza kuiba pesa tu
Fueling pia walikuwa wanafanya Tanzania ama? You just don’t know the impact of that Rally to Kenyan economy.

View: https://x.com/Miwani/status/1904261303687954575
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…