Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dunia ningekuwa inatambua hiyo, basi wangetuweka sote kwenye ligi ya LDC...Kenya haipo kwenye hiyo list tuko ligi za nchini za Uropa, Asia, America na South Africa...meza wembe πŸ˜€
Kuitwa DC haikusaidiii kuondoa umasikini katika kenya.

Eti tuko ligi za uropa[emoji2] [emoji2] [emoji2] unashindana na nani huko uropa mkenya na hiyo njaa yako???
 
DUHHH, πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hii ni kali ya Mwaka , Middle income country guy πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuitwa DC haikusaidiii kuondoa umasikini katika kenya.

Eti tuko ligi za uropa[emoji2] [emoji2] [emoji2] unashindana na nani huko uropa mkenya na hiyo njaa yako???
Nitajie nchi yeyote Uropa LDC kisha utaje nchini yeyote LDC Africa uniambie kama Kenya itaorodheshwa hapo.πŸ˜›πŸ˜›
 
Nitajie nchdini yeyote Uropa LDC kisha utaje nchini yeyote LDC Africa uniambie kama Kenya itaorodheshwa hapo.πŸ˜›πŸ˜›
Mbona Kenya imeshawekwa kwenye kundi moja na Somalia, South Sudan, Ethiopia na Yemen kutokana na umasikini, njaa na insecurity?...hulijui hilo
 
Nitajie nchi yeyote Uropa LDC kisha utaje nchini yeyote LDC Africa uniambie kama Kenya itaorodheshwa hapo.πŸ˜›πŸ˜›
Wewe si uko ligi za uropa???

Nitajie nchi unayolingana nayo GDP?
Maana sifa kenya ni uniform.
 
tanzania itatumia njia tatu kufkisha mizigo uganda
1] from dar to mwanza port then port bell ug
2] from tanga/ bagamoyo to musoma then port bell
3] from dar to isaka tabora to ugandaπŸ˜€πŸ˜€

alaf angalia magufuli alivokua na akili juzi tu kafungua modern one stop border kwenye mpaka wa uganda na tanzania na hapo ndipo SGR itapita
 
Aise yamekuwa hayo tena!!?
 
Mbona Kenya imeshawekwa kwenye kundi moja na Somalia, South Sudan, Ethiopia na Yemen kutokana na umasikini, njaa na insecurity?...hulijui hilo

najua tu Dandanyika liko kwenye ligi moja na papua new Guinea kwa abuse of human kind and cannibalism.That is worse than the devil itself.
 
Kwikwikwikwi
 
Ita tuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…