ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hoja dhaifu sijapata kuona yani inawezekanaaje umeme utoke Ethiopia km zaidi ya 2000 bila kupotea kwa kiwango kikubwa kuliko unaotoka chalinze kama km700 tuu.
View: https://www.instagram.com/p/DG_IGt6qoaq/?img_index=1&igsh=a3JjbDkyY3RubnVt
kwa sasa kazi yetu ni kushangilia na kusifia😂