Hii ndo itatokea na SGR ya kutoka Tabora hadi mwanza huko.Sikuona sababu ya kutowapa strabag phase zilizofuatia maana ile phase waliitendea haki,almost 10 years ile barabara na vituo vyake vipo vile vile,nani sijui alishauri waje wachina!
Mimi naona badala ya kuanza ujenzi wa mwendokasi, wangeanza na flyovers za mwenge, Morocco, Fire, magomeni. Kamata.dar es salaam naona foleni karibu njia zote muhimu ni foleni tu 😂😂😂
watu wanaganda kwenye foleni over 2 good hours aisee🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
hvi mm nauliza swali kulikua na ulazima gani kwenda kufukua barabra zote za mji kwa kisingizio cha kujenga BRT, kwann tusingefata utaratibu wa kila phase atleast phase moja ikifika 70% ndio tunaanza nexe phase, sasa leo tunaenda kufukua barabara zote na ujenzi bado unasuasua kila kona, au ndio tunakimbilia miradi ovyo ovyo ili watu wapige pesa zao mapema kabia uchaguzi?
ilala to buguruni ina miaka 3 toka imefumuliwa na ujenzi umesiamama huoni kinachoendelea zaidi ya foleni kila siku
msimbazi center kwenda kigogo barabara imefumuliwa ina 3 yrs hakuna kitu kinachoendelea so far
etc,
View: https://www.instagram.com/reel/DGvvSJVsv92/?igsh=YzhqZndvOGplOGN3
Wewe nyang'au Nicxie mbona mbishi sana?Sasa Wajackoya aende apige picha kando ya gari US ili iweje?
WachafuTupe vionjo tunavisubiria kwa ham sana
kaka pesa kupita sio tatizo je kama wanakula pamoja na kampuni za kichina na kujenga vitu local local na wao wanakua wako tayar kuwalinda?
ili worldbank na IMf wakupe mikopo masharti yao yakwanza ni waone value for money kwneye miradi ya nyuma waliotoa mikopo yao, na lingine wanaangalia impact ya mradi wenyewe kwa taifa na ww mkopaji ndio una submit kwao kua ushapata mkandarasi na bei ni kias gani na wao wanafanya evaluation kupata uhakika kwa kile ulicho submit
kuna kitu hakiko sawa nyuma ya pazia hatuwez kwenda kufumua mji wote at once wakat tunaona adha ya jiji hili limeshazidiwa mpaka pumzi yakuvuta binaadamu, jiji ambalo linawatu takriban million 7 unafumua barabara zote muhimu, hao wagonjwa si watakufa njiani kila siku, wachumia juani ambao ni wengi sana wataishi vp wakat foleni tu inachukua 3 good hours, kama sisi alhamdlah tunapata chakula what about watu wengine wanaotegemea kibarua wapate chakula???
alaf waziri mzima hana habari wala taarifa kama muda wa mkandarasi umebaki mwezi mmoja na anadai kila siku anapita hapo
😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Kunyan wamejaa TZ,sababu ya wizi
Hao wengi wa juzi tu,
Kulikuwa na mwingine pia alikuwa anaandika comments zake in Bold and Capital letters.Kuna wapumbavu wawili mmoja aliitwa @Barbarossa na mwengine Askari Kanzu. Hawa jamaa kudeal nao ilikuwa kibarua. Huyo Askari Kanzu hangeandika more than one sentence na hiyo sentensi yake maneno matatu manne pekee.🤣🤣
Jane mzalendo to komora now Rhaenyra Targaryen
Ajabu sana abiria 800k na hakuna hata picha ya mmoja anayeenjoy madhari, imagine hao wote wana vitochi.typical of Wakunduni! Huwa ni pumbavu kuliko maelezo!
Labda watuonyeshe Qatar airways ikiwa Kisumu airstrip kama hivi 👇🏿
View: https://youtu.be/hr-Gh7nTYbQ?si=-ntlwfvP13yuy1G3
Hii sio shida mzee.dar es salaam naona foleni karibu njia zote muhimu ni foleni tu 😂😂😂
watu wanaganda kwenye foleni over 2 good hours aisee🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
hvi mm nauliza swali kulikua na ulazima gani kwenda kufukua barabra zote za mji kwa kisingizio cha kujenga BRT, kwann tusingefata utaratibu wa kila phase atleast phase moja ikifika 70% ndio tunaanza nexe phase, sasa leo tunaenda kufukua barabara zote na ujenzi bado unasuasua kila kona, au ndio tunakimbilia miradi ovyo ovyo ili watu wapige pesa zao mapema kabia uchaguzi?
ilala to buguruni ina miaka 3 toka imefumuliwa na ujenzi umesiamama huoni kinachoendelea zaidi ya foleni kila siku
msimbazi center kwenda kigogo barabara imefumuliwa ina 3 yrs hakuna kitu kinachoendelea so far
etc,
View: https://www.instagram.com/reel/DGvvSJVsv92/?igsh=YzhqZndvOGplOGN3
Kwani si ujinga wetu, kwamba Sh. 500bn ni za kusubiri bakuli.Mkuu, haujanipata vizuri.
Kwenye hiyo miradi na wao wenyewe WB au IMF wanakuwa na kipengele cha kuchagua mkandarasi wao wenyewe. Serikali inabaki kama msimamizi tu. Kama ni ulaji ni hayo makampuni ya ujenzi na hizo taasisi za fedha ndio wanajua namna ya kupiga hizo hela. Na ndio maana waziri kasema inabidi aihusishe foreign affairs kulingana na situation ilivyo.
Hata jangwani, bado hamna kitu japo WB walishasema wanaweka fedha pale. Hizi taasisi za fedha zinatoa mikopo na bado zinakupangia namna ya kutumia mkopo kama ni wamekupa msaada vile. Shida ndio iko hapo.
Kwa hivyo huko bongoslum kupanda ndege ni achievement kubwa, lazima mtu apige picha.Ajabu sana abiria 800k na hakuna hata picha ya mmoja anayeenjoy madhari, imagine hao wote wana vitochi.
Wakati abiria 300 KIA unaona lindege.
Tuoneshe akiwa nayo nyumbani mana ushaambiwa hapo ni US na aliomba kupiga nayo picha.
Huyu Rhaenyra Targaryen atakuwa ni janerose mzalendo miandiko inafanana ila komora096 atakuwa ni uyo shoga wa Mombasa ambaye kwa sasa anajitambulisha kama mwanaume.Jane mzalendo to komora now Rhaenyra Targaryen