Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zanzibar stone town is far better kama una pumbu tuwekee picha za mombasa okd town nikutoe nishai. 🀣🀣🀣 naona umeenda kutafuta picha za midurweni ili kujiongopea, kwanini uongee uongo we mbwa kachoka.?
 
siwez kukulaumu wewe huna exposure mukiambiwa mutoke nje ya makuru kayaba munaanza kuhara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe exposure gani uko nayo? Tangu utoroke Yemen ukiwa mdogo ushaienda wapi tena?

Mwanza ni tu Kama Migori town.
 
Wewe exposure gani uko nayo? Tangu utoroke Yemen ukiwa mdogo ushaienda wapi tena?

Mwanza ni tu Kama Migori town.
mm nishatembea kenya nzima sehemu sijafika kenya ni huko turkana na lamu sasa sijui utanidanganya nn ww kunguniπŸ˜‚
 
It is true tha mombasa old town is huge. Lakini all you can see around the town is this. πŸ‘‡πŸΎπŸ€£πŸ€£πŸ€£ tafrani. Here is Znz stone town. πŸ‘‡πŸΎunaeza ona which city is better. Wewe kondoo njoo uache uongo. NairobiWalker.
 
Kenya huwa ukikuja huwa unalala kwa slums cause huko ndiko unaezaafford.
mm nina exposure ya kutosha na hakuna kitu utanidanganya ww kuhusu kenya πŸ˜‚πŸ˜‚

ndio maana nakwambia kenya naijua in out
 
Exposure ipi.? Ushawahi kufika US wewe? Ukitoa moshi ulikooenda ni wapi pengine ulienda.? 🀣🀣🀣 yani kufika moshi tayari ushajiona kana kwamba umetembea US. 🀣🀣🀣 jamaa jinga hili.
Kuna ile application ya search by picture ndiyo kaitumia tayari ana exposure 🀣🀣🀣🀣
 
mm nishatembea kenya nzima sehemu sijafika kenya ni huko turkana na lamu sasa sijui utanidanganya nn ww kunguniπŸ˜‚
Lamu nilifika 2017,kuna cousin wangu ameolewa huko,aisee,kuna umaskini wa kutisha,ule mchele wanaokula watu wa lamu ni huruma,binafsi nilikula ili kutomlate down my cousin,kenya kuna umasikini aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…