mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,556
- 6,953
Kingereza kimekupita na mbali sana.Harmonize kawapiga mkwara kunyan huko huko kwao View attachment 3253981
Namaanisha kilivyokuwa under ARM!Uko wrong, kiwanda kilianza uzalishaji wa saruji tangu 2021.
Alichozindua Mh Rais ni upanuzi wa kiwanda.
Hujakutana na saruji za Huaxin mtaani mzee!
View: https://x.com/mbelwak/status/1463061431960563714?s=46
Sio hiyo tu, juzi jiwe la msingi limewekwa kwenye barabara iliotakiwa kuisha miaka mi 3 iliopita kule Tanga! Watu hawako serious kabisa!! Kama hiyo barabara ya ilala, kama hawakuwa tayari si wangiacha tu, kuliko kufanya ujinga ule!!πππππππππππππππ
juzi nilipita buguruni ilala ile barabara toka imebomolewa kujenga BRT leo ni mwaka wa tatu iko vile vile, endeleeni kudanganyana tu
pesa zimekopwa za kutosha na zimepigwa za kutosha ππ»ππ»
kila budget wanasema hayo hayo nimekuuliza au uchaguzi umewadia ??
Nini cha ajabu hapa?
Kwani rush hour public transport ikoje Nairobi? What I know in most cities rush hour buses/trains/trams are crammed and its understandable.
It was really bad. Embarrassing.Today was fireworks in the Oval Office between President Trump and VP Vance on one side against Ukraine President Zelenskyy. It turned into a shouting match . Zelenskyy got kicked out of the White House. Never seen anything like this in my political lifetime. Itβs the talk everywhere here. This gonna be studied in history booksβ¦wild day in American Politicsβ¦ as Americans say , Trump was like a bull in Chinatown..π
The whole division is related to the rare earth minerals deal that Trump demanded ( 50% of Ukrainian minerals)but has no United States security guarantees. Zelenskyy is ok giving up the minerals to America but in exchange he wants military security guarantees from the US against any future Russian transgressions. Trump refused. So Zelenskyy refused to sign and Trump got upset . Trumpβs theory is American presence in the mineral fields is itself a security guarantee because Putin would not attack when Americans are present working in the mineral fields. Zelenskyy was not sold on that , he wants that guarantee on paper signed . Now what next?β¦ but today Putin definitely won!It was really bad. Embarrassing.
yani ndio maana nimeshangaa sana yani mtu azalishe clinker asizalishe cement nimestaajabu sana kwakweli na nimemuambia mbona hicho kiwanda kipo kinafanya kazi toka 2020 πππUko wrong, kiwanda kilianza uzalishaji wa saruji tangu 2021.
Alichozindua Mh Rais ni upanuzi wa kiwanda.
Hujakutana na saruji za Huaxin mtaani mzee!
View: https://x.com/mbelwak/status/1463061431960563714?s=46
labda mpango wa uchaguzi tu huwez kua na ndoto kama huna mikakati maalumu ya haraka, huwez kugawa mitungi ya gas bure kwa watu wachache wakat gas yenyewe ni ghali sana, huwez kutaka watu watumie nishati mbadala wakat bei ya umeme iko juu sana na huku tunajisifu kua tuna vyanzo vya kuzalisha umeme rahisi zaidi kama hydro, kwa sasa tuongelee siasa za uchaguzi tu πππKwani hapo umesoma wamesema watakuja na mpango gani?
hehehe kwan wameanza lini kutoa ruksa ya kariakoo kufanya kazi masaa 24, hvi ww ushawah kufika china ukajionea watu walivo serious? na mipango iliotengezwa, nikikuuliza sasa hvi kuna eneo lingine linaongoza kwa wizi n ujambazi kama kariakoo?? unataka watu wafanye kazi masaa 24 alaf hatuna mikakati madhubuti πππLeo ni 28/2 sio 25/2 najua unatamani ishindikane ila ni ndoto za mchana
25/2hehehe kwan wameanza lini kutoa ruksa ya kariakoo kufanya kazi masaa 24, hvi ww ushawah kufika china ukajionea watu walivo serious? na mipango iliotengezwa, nikikuuliza sasa hvi kuna eneo lingine linaongoza kwa wizi n ujambazi kama kariakoo?? unataka watu wafanye kazi masaa 24 alaf hatuna mikakati madhubuti πππ
Sera ya Nishati safi tayari imetungwa ,Kuna mkakati mkubwa zaidi ya sera ?labda mpango wa uchaguzi tu huwez kua na ndoto kama huna mikakati maalumu ya haraka, huwez kugawa mitungi ya gas bure kwa watu wachache wakat gas yenyewe ni ghali sana, huwez kutaka watu watumie nishati mbadala wakat bei ya umeme iko juu sana na huku tunajisifu kua tuna vyanzo vya kuzalisha umeme rahisi zaidi kama hydro, kwa sasa tuongelee siasa za uchaguzi tu πππ
yani mm hua nashangaa sana naskia tanga bodaboda jana wamewekewa mafuta ya elf 5 na posho elf 20 wajaze msafara wa mama, chakula jana kimegaiwa bure kabisa mchana na usiku, maji ya kunywa ya GSM semi trela mbili mpaka watu wanaondoka na carton za maji, hel jana zimemwagwa kama upupu watu wajaze uwanja wa mkwakwaniππππ», bus zakutosha zimewatoa watu vijijini huko naskia mwenyekiti akifikisha watu 10 apige simu gari linakuja kuwazoa kuwaleta uwanjaniHawa watu wanachekesha sana. Yaani nisafiri kutoka mkoani au nchi jirani halafu nianze kununua vitu saa sita au nane usiku?!! Mambo ya 24hrs wawaachie super market na wauza chips na huwa inakuja naturally sio kwa uchawa.
sheria imetungwa lini wakat agenda ya nishati safi iko toka kwa kikwete hukoππSera ya Nishati safi tayari imetungwa ,Kuna mkakati mkubwa zaidi ya sera ?
Hujui kitu wewe hater,sio tuu kutungwa Bali ilishazinduliwa na Rais.sheria imetungwa lini wakat agenda ya nishati safi iko toka kwa kikwete hukoππ
bunge limezungumza nishati safi zaidi ya miaka 20 haya hio mikakati iko wapi ikiwa umeme tu mpaka leo hauko stable mjini watu wanazima na kukata umeme vile wanavojiskia
shida sio kufanya kazi usiku je tumeweka mikakati madhubuti ya watu kufanya kazi usiku hapo ndipo kwenye shida kila mmoja anaogopa kufungua duka usiku, camera zenyewe hata 30 sijui kama zinafikaπππππ»ππ»ππ»ππ»Hapo mkuu unakosea.
Wateja huwa wanakujaga kununua usiku, na mizigo huwa inaingia usiku pia, 24/7 ni muarobaini wa kupiga pesa kk. Wakitoa ulinzi wa kutosha, uchumi utakua sana. Kariakoo muda hautoshi kaka.
πππππππππππππππHujui kitu wewe hater,sio tuu kutungwa Bali ilishazinduliwa na Rais.
unajua foundation ya 20 floors inavokaa ww engineer wa githeri na jabaπππUnajua nini kuhusu buildings za 20 floors? Kuna any 20 floor in Tanzania being built utuonyeshe?
Buxton is 20 buildings each 20 floors.