chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,739
- 46,078
Sasa sikuoneshi hivi na wewe ukawe stripper kayole, utarushiwa maweYou won't find this kind of BS of throwing money at the bride in serious countries that have shown tremendous societal progress. It's the typical black man's poverty mentality - the same that sees black people in America who live on food stamps lining up to buy the latest Jordans and iphones every year.
Picha Za ukutani namuona Diamond pale!
Alafu ata kuambia bean cjui nani 😁😂Picha Za ukutani namuona Diamond pale!
Kaka nipo sawa.Piga vzr hesabu, haziko sawa.
Mnashindana na watu ambao hawana akili 😁😂 kenya ni brain damageMtu unajifanya bright lakini..
View attachment 3253089
Hujui kumbe nilichomaanisha, imagine Tanzania harusi ya watu 500, unajua ni kuku ngapi zitanunuliwa? Nyama kilo ngapi? Venue?, tailoring shops walioshonea wageni, hiring firms za cars, photographers, events planners, alcohol and beverages? Gift shopping in short ni whole economic subsection na Tanzania zinafanyika nyiki every moment.Sasa wewe mzee na huyo msichana mdogo ambaye labda hata hajaanza kujitegemea nani yafaa amsikize mwengine? Stop being stupid.
Yani mambo ya strip clubs mnaleta kwenye harusi alafu mnajiona wababe?
Narudia, huo ni upuzi na unafanywa nchi za kimaskini tu. Hadi humu Africa nchi zilizopiga hatua kidogo kama SA, Botswana, Mauritius huwezi pata huu upuzi. Civilized weddings are brief and short. Mbwembwe nyingi hazina maana.
Hujui kumbe nilichomaanisha, imagine Tanzania harusi ya watu 500, unajua ni kuku ngapi zitanunuliwa? Nyama kilo ngapi? Venue?, tailoring shops walioshonea wageni, hiring firms za cars, photographers, events planners, alcohol and beverages? Gift shopping in short ni whole economic subsection na Tanzania zinafanyika nyiki every moment.
Endelea ku preserve akili bro isije ikaishaMnashindana na watu ambao hawana akili 😁😂 kenya ni brain damage
Huna pesa kijana. Tafuta kwanza pesa ukipata uje tujadiliane kitajiri. Sasa hivi njaa inaongeaEndelea ku preserve akili bro isije ikaisha
The only viral content from Kunyaland
Yaani now ni ufala watumishi badala ya kufanya kazi wanawaza event za kusifia.Unakumbuka zile kilometer 2000 alizozindua kafulila alisema za PPP?