Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukute kuna jirani anato sapoti waandamane maake hashindwi kwa husda alizo nazo kwa Tanzania
 
Hii gelesha tu.

Bado sana, wangekua serious wangelima vikwazo vya kueleweka kama vile kukataa mauzo yoyote ya Madini ya Rwanda, kuseize asset za Rwanda kulipa wahanga.

Kama walivyomfanyia Putin.

Vinginevyo ni ghelesha tu.

Yaani vimsaada vya 100m to 200m vinakubabaishaje huku una Multi Billion access ya Madini? Na unawauzia hao hao kenge kwa mlango wa Nyuma?
 

Nimekaa kuangalia hii picha kama Detective nimeona Tuma is hana na watu ambao ni low quality na ni brain damage.
1.Chupa za bila geto
2.Dirisha limewekewa gundi
3.Cocacola empty bottles
4.Picha za wasanii ukutani
5.Makunyanzi usoni
6.Tshirt ya mtumba
7.Jeans la michano

Aseeee nmecheka mnoo πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
Hawa watu ni brain damage kabisa Lowe quality of life then you came to pursuit with Tanzania’s oooooh kuchanika msamba.
 
Ukute kuna jirani anato sapoti waandamane maake hashindwi kwa husda alizo nazo kwa Tanzania
Ndio ndio shirika hilo linalochochea liko Kenya na Anti Eacop figure ni Wakenya.

Usenge mwingi tu. Kisa walishindwa pata. Imagine unaenda andamana Ufaransa juu ya Nchi nyingine?

Wakaandamane kuhusu TAZAMA basi

Kenge wakubwa.

Nasemaje Virungu vitembee akili zikae sawa.

Mijitu hiyo hiyo ndio baadae inawalaumu viongozi hawajui tumia Rasmali, wakijaribu zitumia wanaandamana.
 
Picha Za ukutani namuona Diamond pale!
 
Unaongelea in comparison ya Bien hana album na hajui kutunga nyimbo sio? Hata Sautisol sidhani kama walikuwa wanaweza ku-host event wenyewe!
Napenda nyimbo zao hao sautisol ila nyimbo zao ni chache, naijua moja au mbili kama sikosei, hawawezi kusimama wao kama wao.
 
A group award doesn’t count on individual! One question btn Marioo na Bien nani anaweza ku-host concert alone? Yaani 2 hours of singing? Mind u Bien hana album!
sometimes tukubali ukweli bien amestahili kushinda na kashinda full stop. mambo ya album sidhani kama yalikua yanaangaliwa zaidi ya live perfomance kwenye jukwaa
 
Unakumbuka zile kilometer 2000 alizozindua kafulila alisema za PPP?
 
shida uchawa umekua ni tija kuliko maendeleleo yenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siku wakivuka kuja huku kwetu wanatakiwa wavunjwe miguu na hata kuwauwa kabisa huo ujinga wakafanye huko Uganda
Ndio maana yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…