Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
Najua ni wivu tu lakini utakaa sawa[emoji23] trillion 7 sio ndg.. Na hayo ni makadirio ya chini wakishamalza final research ndio tutapata majib kamili.. Tumeamua kutumia Rasilimali to the maximum
hio itakua akili ya mwendawazimu😀😀SGR yenu imefika Congo?punguza bangi wewe kwanza hata hela za kujenga reli ya kisasa Congo haina....na kama itapata basi tarajia miaka kama 30 hivi kabla reli ifike Congo....kisha nikukumbushe, rli ya Kenya inaenda pia Congo Rwanda na Burundi...we will have to share
sasa wewe upo Manzese hapo unajua nini kinachoendlea Kenya? mimi ndio niko hapa na ninakuhakishia kuwa hizo karanga hamna anayezitumia...But mbona wanazidi kuongeza maeneo na sasa zinapatikana kila county ya Kenya.. Kama kuongezeka kwa consumption ni Nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo sio reli acha kuchafua jina, imeanza kuvunjika na kuua watu, reli gani hiyo ya 1880s?ndoto ni ile reli imeanza ujenzi ikafika Nairobi tayari ama ni ile bado watu wanatafta routes kule msituni
asante kwa povu...China washaachilia hla za kufikisha reli Rwandahio itakua akili ya mwendawazimu😀😀
tanzania ndio inaanza kutumia rasimali zake sasa hvi na kama ulikua hujui 49% of tanzanian land is untouched😀😀😀😀 yani ndio tunaanza sasawapi hizo hela? mbona bado LDC?
kagame alishakataa museven alishakataa siku nyingi tu😀😀😀😀 bahati nzuri kagame na mseven wote wamewekwa na tanzania kama ulikua hujuiasante kwa povu...China washaachilia hla za kufikisha reli Rwandanyie bado mnatafta routs kule msituni na kupambana na vumbi
Sema wewe ndio huzitumii.. Wafanyabiashara wenu wanapanga mstari huku kununua maboksi kwa maboksi kila siku AF unasema hazinunuliwi SMH[emoji23][emoji23]sasa wewe upo Manzese hapo unajua nini kinachoendlea Kenya? mimi ndio niko hapa na ninakuhakishia kuwa hizo karanga hamna anayezitumia...
Museveni amekua Kenya jana wakazungumzia SGR wwe hapo ukiwa unakazana na maisha ya Tandalekagame alishakataa museven alishakataa siku nyingi tu😀😀😀😀 bahati nzuri kagame na mseven wote wamewekwa na tanzania kama ulikua hujui
Rwanda abandons Kenya SGR routeasante kwa povu...China washaachilia hla za kufikisha reli Rwandanyie bado mnatafta routs kule msituni na kupambana na vumbi
Museveni amekua Kenya jana wakazungumzia SGR wwe hapo ukiwa unakazana na maisha ya TandaleRwanda nao walisema kuwa watatumia corridor zote mbili pole bro ur SGr is a whit lphant
Sema wewe ndio huzitumii.. Wafanyabiashara wenu wanapanga mstari huku kununua maboksi kwa maboksi kila siku AF unasema hazinunuliwi SMH[emoji23][emoji23]
tanzania ndio inaanza kutumia rasimali zake sasa hvi na kama ulikua hujui 49% of tanzanian land is untouched😀😀😀😀 yani ndio tunaanza sasa
Museveni amekua Kenya jana wakazungumzia SGR wwe hapo ukiwa unakazana na maisha ya TandaleRwanda nao walisema kuwa watatumia corridor zote mbili pole bro ur SGr is a whit lphant
Kuna time ndege flani iiland Kenya na trucks za UN za huko DRC na ati Hii ndege hakuna place ingine ingeland in East and Central Africa ispokua JKIA...unakumbuka kitu na hiyo?
yani miaka 10 tu mumeanza kilia hvi je ingekua 20yrs ingekuaje, tulikua tunasubiri tusomeshe vizazi vyetu viwe na elimu kwanza ndio tuanza kutumia rasimalimlikua mmelala usingizi sana ndio mmeamka sio?
asante kwa porojo...hii hapa latest report