Kumbe mambo yangu ya hoteli imewatesa sanaππHao jamaa ndo kina teargas wazee wakwenda kupiga picha hotelini
Siku Tanzania will have a project even a quater of this utaskia wakisema βThis is the best Estate in East Africaβ.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Bwana Liston Mutai IamLee ona sasa hizi njaa zako zinaku-expose uliomba fedha kwa Mtanzania sio? Na madharau yoote humu, Mumbi mna matatizo sana!
Kumbe Listone Mutai IamLee ni Mkalee?Halafu ni mkale ndio maana hajawahi mponda WSR humu. πππ
Ready kuwapelekea Wakenya esp. Mombasa!
Kuhusu kiwanda inawezekana ni upanuzi wa kiwanda cha Mbeya Cement tawi la Tanga.Ready kuwapelekea Wakenya esp. Mombasa!
Kuna hii tena ππΏ
View: https://x.com/ikulumawasliano/status/1894983469236633616
Kiwanda gani cha saruji? Kuna mtu anajua?
Hapana inachekesha sanaKumbe mambo yangu ya hoteli imewatesa sanaππ
Inachekesha that you have never been to an hotel?Hapana inachekesha sana
Kila likizo nina Trip ya Zanzibar Sasa sizani kama Nairobi inaweza kuwa na hotel kuliko ZanzibarInachekesha that you have never been to an hotel?
Everybady sing!!Tukisema Bongolala's kwa live performance hawawezi wanakasirika. What is this? jamaa hana sauti alafu anahema kama punda. π€£ π€£ π€£ Imbeni tu kwa studio, live performance muwachie wakenya.
View: https://x.com/Sativa255/status/1894874327079887358
This is your fellow Tanzanian. This swahili ni purely Tanzanian with a Kenyan phone number.
Kamwe huwezi ona mtanzania anashindana na mkenya kwenye suala zima la mziki, tushatoka huko kitambo. Tunawadharau sn.Tukisema Bongolala's kwa live performance hawawezi wanakasirika. What is this? jamaa hana sauti alafu anahema kama punda. π€£ π€£ π€£ Imbeni tu kwa studio, live performance muwachie wakenya.
View: https://x.com/Sativa255/status/1894874327079887358
Huyo ameongea ukweli mtupu. They really suck on live performances.