Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi ya Viwonder....Before you get there,Rwanda and Burundi will have overtaken you,....Sleepy as always.
Rwanda na Burundi wameopt for our SGR route instead of yours[emoji23][emoji23] na wataiingizia nchi mapato makubwa.. Congo the same.. Uganda nao wamechukua route yetu ya oil pipeline wakaitupilia mbali Kenya[emoji23][emoji23] Zambia wanatumia TAZARA Malawi wanatumia bandari yetu[emoji23][emoji23] so watch out.. Nyie ndio tunawalisha mpk basi.. Bila bidhaa zetu mnakufa njaa nyie
 

kwikwi hiyo enye itatumia kuni...nani atataka kutumia vitu vya kidanganyika.There is nothing you people can produce and convince anyone to use in this world.
 
kwikwi hiyo enye itatumia kuni...nani atataka kutumia vitu vya kidanganyika.There is nothing you people can produce and convince anyone to use in this world.
Be honest, which SGR uses firewoods[emoji23][emoji23][emoji23] mchina kawalambisha tako kinguvu.. Na deni mpaka mje mlimalize ni mpk yesu arudi[emoji23] Diamond anaproduce Karanga and its all over Kenya shame on you.. Ni kupiga Pesa tu[emoji23][emoji23] na izi sanctions tulizowaekea mtajamba ngozi mwaka huu
 
karanga zipi? hizo hamna mtu anaytumia bro...vitu vya ujinga waknya hawapendi
 
mizigo ya rwanda na burundi hata Mombasa tu inazizidi...hakuna pesa hapo...pesa zipo Uganda na South Sudan...our SGR is heading in that dirction bro...You can have rwanda and Burundi...small countries
 
5 Star Hotels Tanzania.. Kuna over 20, 5 star hotels Tanzania while Kenya hata 1 ni kizungumkuti[emoji23][emoji23]


 
Tourism in 2017 has been good despite the elections calendar and opposition instigated rerun violence. A cruise ship every 2 weeks even before the Cruise Terminal is completed. Thanks to CS Balala, KTB and stakeholders.

Arriving now at MombasaPort with over 476 tourists and 370 crew @tunajibu @MagicalKenya @TRA_ke [HASHTAG]#HappyHolidays[/HASHTAG] My Gov on Twitter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…