Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana wewe ni watchman, akili ni zero. Huna fungua hata video yet unasema stadium haina viti, Kwani mshahara wako umeisha hadi kununua bundles imekushinda?
 
Tanzania ilikuwa nyuma na kuzidiwa na Majirani wote kwenye Tertiary education enrollment kasoro Burundi so HEET ukiacha kwamba itaongeza udahili Bali inaenda sanjali na Mageuzi ya Mitaala,kusomesha Wataalamu wabobezi na kuimarisha Elimu yetu Kwa Jumla na kuchangia innovation How Sh972 billion will improve higher education in Tanzania

Good enough Vyuo Vikuu vimesambazwa Mikoa yote Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…