Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimeskia watz wakijifananisha na Russia/China ama naota? wamesahau kichapo cha janaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€vile vibanda vya kuku wanavyoviita airports..
 
nimeskia watz wakijifananisha na Russia/China ama naota? wamesahau kichapo cha janaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€vile vibanda vya kuku wanavyoviita airports..
Ndugu yako mkenya alikuwa akisema russia ni LDC country. Nikamwambia hana exposure.
 
nimeskia watz wakijifananisha na Russia/China ama naota? wamesahau kichapo cha janaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€vile vibanda vya kuku wanavyoviita airports..
sasa naanza na ile ahadi niliokuahidi jana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hakuna mji wowote east and central unaeza kaa sahani moja na zanzibar kwa beach hotels
royal hotel
 
nimeskia watz wakijifananisha na Russia/China ama naota? wamesahau kichapo cha janaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€vile vibanda vya kuku wanavyoviita airports..
niendeleee auπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
niendeleee auπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ah kumbe hoteli tu? nchi ipi haina hoteli? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€seychelles, mauritius are small islands but have fantastic hotels...mi nataka uniletee infrastructure (airports, highways, interchanges, and buildings too from ur 2nd city, Mwanza....if you even have anyπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ au zile mawe ziko mtoni ndio skyscrapersπŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
80% complete ..Naks itachange kabsa kwanza wakiweka street lights
Hivi ninyi mnajua maana ya interchange?, Kwanza hilo neno mlilisikia kutoka Tanzania, kabla ya hapo mlikua mkizungumzia flyovers, tafadhali sana subirini interchange ya Ubungo muione ndiyo mtajua maana ya interchange, hiyo picha inaonyesha cross over, interchange ipo Ethiopia, na ingine ni hii ya Ubungo, gharama yake sio chini ya $90M, huo uchafu mnaoonysha haizidi hata $1M, toeni uchafu huo
 
We are talking about Kenya vs Tanzania in all aspects. Sasa unatakiwa unyoshe mikono kwamba TZ kwa hotels hamuiwezi.
Mambo mengine unaleta ni ya kitoto. Umepigwa Hand down. Leta SGR tena ujifurahishe.
 
bro sio kwa kilio hicho plzπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sikua na nia nikutoe povuπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…