Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That map shows both Arusha city and Arusha region as a whole with surrounding districts! Sasa ukiongelea huko ina maana unataka ni-argue nawe kuhusu pia Monduli ambapo kuna Tanzania Military Academy (the largest n the oldest in the region) plus Karatu plus Ngorongoro plus mining areas of Tanzanite! I think u don't know what u r talking about! In short think of Arusha regional commissioner being equal to ur governor then district commissioner as equivalent to ur sub county governor!
 
Hapa umenyoosha mikono juu. 🤣🤣🤣 huna facts
Arusha only have one 5* Hotel while Mombasa has 3.
Ziko wapi hizo decent stadiums za Mombasa.?
Go to internet and search for
Mbaraki Sports Club Stadium
Uwanja wa Mbuzi
Bomu Stadium
Unakichaa wewe 🤣🤣🤣 mombasa hata kama itaanza upya kujengwa haiezi fikia Arusha kwa ubora wa makazi ya raia
But reports says otherwise, Mombasa is home to more luxurious homes only second to Nairobi in East Africa.
Malindi airport is equivalent to any random bus stand in small towns of Tz.
Malindi airport receives more passengers tyan Arusha Mabati Rolling mill.

Ever heard of Tanzanite game stone.? 🤣🤣🤣
Ingekuwa hiyo gemstone is anything meaningful GDP ya Arusha haingekuwa $1.3B.
 
You maybe right, but you ignore one fact. No Kenyan player in your league can afford such luxury.

Another boat.
 
Arusha only have one 5* Hotel while Mombasa has 3.
Twende ground kwa hili ili nikufunze adabu
Go to internet and search for
Mbaraki Sports Club Stadium
Uwanja wa Mbuzi
Bomu Stadium
Viwanja za monbasa ni hizi takataka.? 🤣🤣🤣mbuzi stadium 👇🏾mbaraki sport 👇🏾
But reports says otherwise, Mombasa is home to more luxurious homes only second to Nairobi in East Africa.
Twende ground hapa tusiongelee mate, nitakupa kichapo cha mbwa mwizi.
Malindi airport receives more passengers tyan Arusha Mabati Rolling mill.
Usitaje takataka kulinganisha na Chuga the busiest air strip in the region so far.
Ingekuwa hiyo gemstone is anything meaningful GDP ya Arusha haingekuwa $1.3B.
Arusha’s GDP by 2020 report.. $3 billion 👇🏾sahii ni around $5 billion or more. 🤣🤣
 
So in short GDP ya Arusha is less than ya Kisumu na hii kelele yote?😂😂😂
 
Arusha region is not Arusha municipality you idiot.
Governors do not run a city, they run a county.
You people need lots of education, stupid. 🚮 🚮 🚮
 
Mwambie akuonyeshe hoteli kama hii hapo Mombasa!



So hoteli moja makes a small town better than a city? Bro, Mombasa is closer to Dar than Arusha is to Mombasa. Anyone who has visited both Mombasa and Arusha will tell you that. The more reasonable cities to compare with Arusha in Kenya are Nakuru and Eldoret where Nakuru is better than Arusha in infrastructure while Eldoret is slightly smaller but comparable. Mnapenda kujifurisha vifua. The other day mtu alitaka kufananisha Zanzibar na Mombasa. Mkuwe serious. Mombasa Metropolis has about 3M people, Arusha has 600k, Zanzibar has 200k. Mombasa metropolis alone has more people than the whole Arusha region. How can you even compare?
 
Kwani kuna hotel moja within Arusha.? 🤣🤣🤣 wew mbona huwa ni zuzu hivi.?

Nani kakwambia so many People mean more development.

Arusha >>> Mombasa
Zanzibar>>> Mombasa, by far.
 
kwani halmashauri ya jiji la arusha linafanya kazi gani? kwann wasianze mradi waoneshe nia ya kuanza wakisubiri budget kutoka serekali kuu, nahisi ni hoja dhaifu sana
 
Arusha region is not Arusha municipality you idiot.
Governors do not run a city, they run a county.
You people need lots of education, stupid. 🚮 🚮 🚮
Wherever u put it kuna Arusha city na kuna Arusha province/region! Sasa ficha upumbavu! Makonda ni sawa na Governor na anaendesha mkoa (region/province) tajiri kuliko many of counties huko Ukunyani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…